..Nasisitiza hakuna kilimo cha whatsup or Instagram or twt ,kama una fedha zako nenda kajiridhishe hicho ulichakiona mtandaoni , nunua ardhi yako ajiri mtu/watu usikubali hizi habari leta 10m nikakulimie utapata 15m .Nasisitiza hakuna kilimo cha whatsup.Nenda shambani mwenyewe