The way you treat yourself sets the standard for others on how you demand to be treated. Do not settle for anything other than respect.
#CrownMediaTZ Fan.
Nukuu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 14 Novemba, 2025, mkoani Dodoma.
RAIS SAMIA ATANGAZA KUUNDA TUME MAALUMU KUCHUNGUZA VURUGU ZA OKTOBA 29.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza Wabunge wa Bunge la Tanzania na wageni waalikwa kusimama na kuomba kwa dakika moja kwaajili ya Wananchi waliopoteza maisha kwenye vurugu na ghasia za Jumatano ya Oktoba 29, 2025 katika Miji ya Arusha, Dar Es Salaam, Mbeya, Mwanza na Songwe.
Rais Samia ameongoza jambo hilo leo Ijumaa Novemba 14, 2025 Bungeni Mjini Dodoma wakati wa hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la 13 la Tanzania akitangaza pia kuunda Tume maalumu ya kuchunguza tukio hilo, akitoa pole pia kwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao.
"Serikali imechukua hatua ya kuunda Tume ya kuchunguza yaliyotokea ili tujue kiini cha tatizo, taarifa hiyo itatuongoza kujielekeza kwenye mazungumzo ya kuleta maelewano na amani." Ametangaza Rais Samia.
Akieleza namna ambavyo ameumizwa na tukio hilo, Rais Samia pia amewaombea kheri majeruhi wote huku pia akiwaomba waliopoteza mali zao kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
TUMEANZA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA YA TANZANIA- RAIS SAMIA
"Hapana shaka kwamba Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia ila neno demokrasia kamili linaweza kutafsiriwa kwenye mitazamo tofauti kwani haina kanuni moja. Kama Taifa tunaendelea kujifunza na kujirekebisha, hivyo basi sote kwa umoja wetu tunapaswa tutumie fursa hii kuendelea kujifunza, tukirekebishe na tukubaliane jinsi ya kuendesha ncho yetu kidemokrasia kwa kuzingatia tamaduni, mila na desturi zetu na sio za kuletewa.
"Kama tulivyoagizwa na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi moja ya hatua itakayotufikisha kwenye maelewano hayo ni marekebisho ya Katiba yetu, serikali imeahidi kuanza kulifanyia kazi suala la mabadiliko ya Katiba ndani ya siku 100 za muhula wa pili wa awamu ya sita kwa kuanza na Tume ya usuluhishi na maelewano."- Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi Novemba 14, 2025 Mjini Dodoma.
1. Mafunzo na Mikopo yenye riba nafuu na rahisi kuipata.
2. Ahadi ya Billion 200, pesa hizi ku inject kwa Vijana ambao tayari wamekwisha anza biashara zao, na moja ya sharti ni kuongeza ajira kwa vijana.
3. Sekta za Kilimo, Madini na Ufugaji (Samaki kwenye Vizimba) Serikali ikopeshe Vifaa, mfano Kilimo Kuna Matrekta 10,000, nakazia kwenye mafunzo na follow-up.
UNAWEZA KUMPELEKA NG'OMBE MTONI, LAKINI HAUWEZI KUMLAZIMISHA NG'OMBE KUNYWA MAJI.
Mataifa yanayoibukia kiuchumi, halipo hata moja ambalo limekwisha ajiri Vijana wake wote.
Binafsi nina amini tukiweka sera rafiki, Vijana wengi tunaweza kujiajiri na kuajiri wenzetu,Dr Samia alilisema hili jana Bungeni kwenye miradi mbali mbali hasa Kilimo, Mifugo, Madini na Uchukuzi.
Watawala Hamuwezi kutuajiri wooote Kuna watu wanamiaka 12 hawajawai itwa Kwenye interview. Turuhusuni mijadala chanya vijana wanajua nn wanataka. hizo Ajira mmetoa MAELFU na watu waliomaliza shule kwa kada Moja wako mamilioni.
Ruhusuni watu wawape mawazo hamjui Kila kitu.
Tanzania iko mbioni kuanzisha mfumo wa fedha unaofuata miongozo ya Kiislamu.
Chanzo: Jamiiforums
Maswali yangu:
1. Je, tuna mfumo wa kifedha wa Kikristo na dini nyinginezo ulioanzishwa kiserikali?
2. Huo mfumo ukoje na unaumuhimu gani?
3. Mfumo tunaotumia kwasasa unaitwaje?