Serikali iliandaa mradi wa kuimarisha elimu ya sekondari kuongeza madarasa, mabweni na miundo mbinu mingine ili kuongeza nafasi katika Elimu ya Sekondari kwa watoto wa kitanzania.
#Waziri Ndalichako
#Shule ya Sekondari Msalato Jijini Dodoma
@fredrickjustne Ikitokea umesimama katikati ya kundi la watu, na watu nyuma wanakusikiliza... Jaribu ku balance namna ya kuzungungumza kwako. Si kila unachozungumza ni sahihi kila mahali.
Kwa muda mrefu sana, watu wengi wamekuwa wakiyatafuta MAFANIKIO.
Lakini wamesahau kwamba, kupitia MAFANIKIO hayo wanayoyatafuta yanaweza kuwa kero kwao ama kutengeneza vikwazo ambavyo hapo awali hawakuwa navyo, hivyo kufanya kutofikia lengo alilokusudia kufanya kwa wakati.