WAONYE NA KUWAKANYA WANAO TAKA KUSHIKA MADARAKA KUPITIA MLANGO WA NYUMA KWAMBA SERIKALI IPO MAMCHO NA ITA DEAL NA YOYOTE ANAE TAKA KUATARISHA AMANI YA NNCHI.
Ahadi ya kuendeleza yote yaliyoasisiwa na mtangulizi wake Hayati JPM, jitihada zake binafsi anazoendelea kuzionyesha katika uongozi wake ni hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni tunu ya Taifa hili. Jina la Chief Hangaya #Nyotainayong'aa liko sahihi kwa maneno na kwa vitendo #SSH
Leo tena @freemanmbowetz anakwenda kusimama kizimbani, nitumie siku hii ya demokrasia Duniani kuwakumbusha wanasiasa uchwara na wachumia tumbo kuwa ugaidi, uharibifu na uovu mwingine wowote sio njia salama ya kupata madaraka. ACHENI mara moja, jifunzeni kwa huyu DJ wa Bilicanas
Mtuhumiwa wa ugaidi leo anapandishwa kizimbani, kwa kuwa ni siku ya DEMOKRASIA Duniani basi wanasiasa uchwara na wanaofikiria kupata MADARAKA kwa njia zozote hata zisizofaa basi wajifunze kutoka kwa Mbowe aliyejaribu kutikisa kibiriti na sasa anaisoma namba, waliomtuma hao hapo
Rais Samia Suluhu asante kwa kuendelea kusimamia ahadi zako, Ujenzi wa miundombinu unaoenda sambamba na kutangaza utalii utafanya mabadiliko makubwa sana katika miaka ichache ijayo. #Msalato#InternationalAirport