Moja kati ya mambo yanayombeba Rais Samia Suluhu Hassan ni uwezo wake mkubwa wa kiuongozi, ni kiongozi mwenye maono na uwezo wa kuyatafsiri katika uhalisia maono yake. Ni fahari kuongozwa nae ndio maana 2025 hata kuwa na mpinzani. #SSHverified2025#TanzaniaSalamanaSamia
Ahadi ya kuendeleza yote yaliyoasisiwa na mtangulizi wake Hayati JPM, jitihada zake binafsi anazoendelea kuzionyesha katika uongozi wake ni hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni tunu ya Taifa hili. Jina la Chief Hangaya #Nyotainayong'aa liko sahihi kwa maneno na kwa vitendo #SSH
Mtuhumiwa wa ugaidi leo anapandishwa kizimbani, kwa kuwa ni siku ya DEMOKRASIA Duniani basi wanasiasa uchwara na wanaofikiria kupata MADARAKA kwa njia zozote hata zisizofaa basi wajifunze kutoka kwa Mbowe aliyejaribu kutikisa kibiriti na sasa anaisoma namba, waliomtuma hao hapo

Leo tena @freemanmbowetz anakwenda kusimama kizimbani, nitumie siku hii ya demokrasia Duniani kuwakumbusha wanasiasa uchwara na wachumia tumbo kuwa ugaidi, uharibifu na uovu mwingine wowote sio njia salama ya kupata madaraka. ACHENI mara moja, jifunzeni kwa huyu DJ wa Bilicanas
Rais Samia Suluhu asante kwa kuendelea kusimamia ahadi zako, Ujenzi wa miundombinu unaoenda sambamba na kutangaza utalii utafanya mabadiliko makubwa sana katika miaka ichache ijayo. #Msalato#InternationalAirport

*ASANTE RAIS SAMIA SULUHU KWA KUGUSA MAISHA YANGU NA WAFANYAKAZI WENZANGU!*
_Na Mwal. Udadis H._
Kusema ukweli ni muhimu sio tu kwasababu inakupa uhuru bali inakupa faraja kwa kuweka kumbukumbu sawa juu ya uhalisia uliowahi kujitokeza kabla.
Kwa watumishi wote tuliokuwa
Tangu wakati huo (1967) nchi yetu imekuwa na utaratibu wa kuendesha zoezi la Sensa kila baada ya wastani wa miaka 10 (muongo mmoja) na huo ndio muda uliyokubalika kimataifa - @SuluhuSamia
BARUA YA WAZI KWA KAKA JANU
Kakangu @JMakamba najua ndiyo kwanza umefikisha masaa 24 tangu uaminiwe na Rais @SuluhuSamia umsaidie kwenye Nishati.
Kwa namna ninavyokufahamu, najua bado umejipa muda wa kuwajua watendaji waliopo chini yako, lakini kabla haujafahamu majina ya