Wiki iliyoisha ilikuwa na Mambo Mengi sana, kuna Mwanangu Mmoja Alitapeliwa 75k na Majamaa Flani Ivi Ambao walikuwa Very Technical yani Kwenye Utapeli Wamepikwa Wakaiva then wakaungua 😁 ilikuwaje Ilikuwa Hivi 👇
Huyu jamaa Ni Mwamba anafanya Kazi za Sells kwenye Moja Ya Bank apa +255, Sasa Alhamis Anapigiwa Simu na Ex-Branch Manager wa Tawi ilo ambalo nadhani iyo Bank walimuhamisha Majumaa kadhaa Nyuma , Uyu Ex- Branch Manager anamuambia , Kuna Nafasi Kwenye Kampuni Moja "USAID AFYA" wanahitaji Mhasibu mwenye CPA dau Lao Ni 2.5M , Na Wapo Songeaa
Huyu Ex- Branch Manager Hii Taarifa Aliipata Kutoka kwa Doctor Mmoja Hivi ambae Ni Mtu wake wa Karibu , Uyo Doctor alimcheki Whatsapp, Ex- Manager Hakuangaika Ata Akamforwadia Huyu Mwanangu namba za Uyo Dactari ambae Ndo Amepewa Huu Mchongo,
Doctor akamcheki Mwanangu alafu Akampa Namba Na Email ya Kutuma Cv , Email yenyewe hii apa [email protected], wakamuambia Atume izo Cv Mapema maana Weekend inakaribia , Mwanangu Usiku tu kamprompt Chatgpt, kampikia Cv, na Barua 😂 Ijumaa Mapema Katuma WASIFU wake aliopikiwa Na AI Kwenye Email ya Muajiri Fake.
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA MHE. LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
@ShundoGaston,
Mkurungenzi wa Sheria wa CHADEMA HQ
Kuna wakati unapata kahela kako unaangalia list ya madeni yako unatafakariiii nani uanze kumlipa..?
Unaona utakuwa hujafanya chochote bora uile tu..😅🫵🏾
#TajiriLaKihaya
Bora enzi zetu tuliooa kabla ya 2020…
Mtu ulikua unaangalia BIKRA ukikosa…. Basi walau yule Binti ambae Hajawahi Kuzaa kabisaaa…
Ila watakao Oa kuanzia 2030 huko….
Watakua wanaangalia walau ambae bado Marinda yapo! Hawatajali cha bikra wala usingle maza… Watakachoangalia ni Marinda tu!
Na marinda yenyewe yatakua Adimu…
KIJANA kama bado haujaoa OA sasa huko mbele ni kubaya saana!
MABINTI wa sikuhizi matundu yote mawili yapo wazi,sio poa💔💔💔
Kuna muda maisha yanakupitisha sehemu ambazo hapo zamani ulikuwa unajua wanao pita hapo wana dhambi, wakosefu na wabaya tu
Heshimu majira na nyakati ukiwa unaishi bila kudondosha juhudi za wengine
Look ya mwanamke inatosha sana kukupa First hand informations kuhusu yeye.
Hatuwezi kupima uhalali wake kwa kupima intentions na malengo ya kichwani mwake, tunaanza la Look.
Mavazi, ni kipaombele utagundua huyu anaakili au hana.
Kama unaamini nguo na vile ana ji display katika jamii sio shida na wewe ni yeye.