Sala kabla ya Kulala
Eeh Mungu, nakushukuru kwa sababu umenilinda Siku ya leo. Nakuomba unikinge usiku huu na hatari zote za roho na za mwili, najuta sana makosa yangu yote, ee Bwana wangu mwema mikononi mwakao naiweka roho yangu. Amina.
Moyo Mtakatifu wa Yesu Unihurumie
@giva_tips Hivi bonus ya paripesa inatumikaje maana kila kiplace inaniambia odds for the events in the betslip do not meet the requirements of the bonus offer @giva_tips