๐๐๐๐๐๏ธ-Kilimanjaro Christian Medical University Collage (KCMUCo).|
๐ฌ๐๐๐ฉบ๐ฉป-Ministry of Health (MoH).|
๐-Seventh day Adventist church (SDA)|
โฝ-LFC & RMA
@BrendaRupia Magufuli- maDED mnalipwa mshahara, kupewa gari na sisiemu mnantangazaje mpinzani kushinda kiti cha uongozi โ
Nape- ushindi upo halali na haramu, unafanya haramu kisha unatubu na nyingine nyingi.
Hizi ziwekwe Chadema Media na zichezwe katika mikutano yote kabla viongozi kuhutubia
@BrendaRupia Mjuumbe mmoja baraza la wawakilishi (jina nimesahau)- tulipata uhuru kwa mapinduzi hatutatoa kiti kwa chama pinzani kupitia sanduku la kura.
Majaliwa - tuko tayari kufanya lolote Samia ashinde.
Afisa mmoja wa polisi Hai DC wakati wa kampaing akimwambie Mbowe kuwa hatasinda.
๐
@BrendaRupia Baada kuziunganisha
Zikiwemo hizi:-
Herry james - tutawaua kwa sumu.
Salum Burhani- tukiwapoteza polisi msiwatafute.
Wasira - sisiemu itatawala mpaka Yesu arudi.
Samia - hata tumpigie mpinzani sisiemu itaunda serikali.
DC Longido- madiwani kushinda ni mkakati wetu maDC.
@BrendaRupia Hongera @BrendaRupia
Afisa habari wa chama kwa kazi nzuri unayofanya
Naomba nikwambie jambo moja, kitengo cha IT hapo makao, kikusanye video clip zote za matamshi ya viongozi wa sisiemu, polisi na serikali yaliyoashiria kupiga, kuua, kuteka, kuiba uchaguzi, ziunganishwe pamoja
@MwijakuBurton Cheki jinga hili
Katikati ya watu kutekwa, kuuawa, kupigwa na mambo mengine mengi kuhusu uhai wa watu na afya za watu kuwa hatari.
Linaamka taala moja huko mashimoni linataka watu wamjadili Manala kwamba anasema watu.
Hii nchi ina watu Wapumbavu sana asee