Uaminifu bongo ni ustaarabu ambao unetupita mbali sijui malezi au tabia ya mtu by nature ..
Nimesahau wallet place ambayo nakula kila siku na napiga soga jamaa kaificha
Mind you kuna IDs zote zenye majina na picha , narudi namuuliza anakataa kma kaiona tumembana katoa ..๐
Hongera @fistonmayele9 kwa kufunga bao lake la kwanza kwenye Fainali za Kombe la Dunia. Ameandika historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kucheza Klabu yetu na Ligi Kuu Tanzania kufunga bao katika Fainali za Kombe la Dunia. ๐๐๐
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Historical World Cup for African teams. ๐โ๐ฟ
โ ๐ฟ๐ฆ South Africa
โ ๐จ๐ป Cape Verde
โ ๐จ๐ฎ Ivory Coast
โ ๐ฒ๐ฆ Morocco
โ ๐ธ๐ณ Senegal
โ ๐ฌ๐ญ Ghana
โ ๐ช๐ฌ Egypt
โ ๐จ๐ฉ RD Congo
โ ๐ฉ๐ฟ Algeria
โ๐น๐ณ Tunisia
9๏ธโฃ/๐ teams have qualified to World Cup Round of 32 ๐๐พโจ
๐น๐ฟ NEW: Tanzania is positioning itself as a major new destination for mining investment and critical mineral supply chains, relying on smart policy reforms to prioritize value addition.