former HRM at R.J Motichand Trans LTD. Former HR Supervisor at Sapphire float glass ltd, Lawyer Rungwe Garden Co. LTD. Currently HR Consultant and Advocate.
VIDEO:
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeifuta kesi ya Uhujumu uchumi Na. 13647/2026 iliyokuwa imefunguliwa Mahakamani hapo na Jamhuri dhidi ya wanafamilia wawili (2) ambao ni Adam Caiser Poppe na Caiser Hans Poppe
Maamuzi hayo ya Mahakama yamekuja kufuatia mapingamizi mawili (2) ya kisheria yaliyokuwa yamewekwa awali na Wakili wa utetezi Peter Kibatala chini ya kifungu cha 134, kifungu kidogo cha kwanza (1), na kifungu cha Nne (4), kifungu kidogo cha Tatu (3) cha Sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai sura ya 20, marejeo ya 2023, ambapo mapingamizi hayo yalikuja baada ya upande wa Jamhuri kuieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi inayowakabili wateja wake haujakamilika
Katika maelezo yake Mahakamani, Wakili Kibata alisema kufunguliwa kwa kesi hiyo ikiwa bado upelelezi haujakamilika kumevunja maelekezo ya msingi yaliyitolewa na Bunge, yanayotokana na kifungu tajwa cha 134, ambapo licha ya Jamhuri kupitia kwa Wakili wa Serikali Mwandamizi Thawabu Issa kupinga hoja hizo lakini haikushawishi Mahakama kuifuta kesi hiyo,
Akiwa kwenye viunga vya Mahakama hiyo, Wakili Kibatala akawaeleza Waandishi wa Habari kile kilichoisukuma Mahakama leo, Jumanne tarehe 21/07/2026 kuifuta kesi hiyo na kuwaachia huru wateja wake
Wanafamilia hao walikuwa wanakabiliwa na makosa 22 Mahakama hapo, ambapo kati ya hayo makosa 20 yalikuwa ya jinai ya kawaida na makosa mawili (2) yalikuwa ya Uhujumu uchumi yakigawanyika katika mafungu mann (4) tofauti
Viti vingi sana vya kujifunza kupitia Mfalme Sauli. Mungu hata akubariki vipi kama hujaandaliwa/kujiandaa, kujaandaa chombo cha kupokelea baraka za Mungu. Baraka za Mungu zinaweza kugeuka kuwa nightmare. Alipakwa Mafuta/Roho wa Mungu akaja juu yake lakini hakuweza ku-handle, blessings na anointing.
@ReganTesla_ Navisoma Sana vile virabu. Ila binafsi najiulizaga hivi...... Biblia ukiisoma Kwa ujumla, mwamzo Hadi ufunuo. Unagundua kuwa waandishi waliandika Kwa uvuvio/spiritually influenced. mood Ya uandishi wa biblia ya vitabu 66 inaelekeana. Sasa "kwanini hivi viwe na notation tofauti?
WATANZANIA TUHAKIKISHE UFUNGUZI WA AFCON NA SIKU ZINGINE MUHIMU ZINAZOKUJA, EITHER HALI IWE KAMA LEO AU TUTOKE KUANDAMANA KWA AMANI!!!!!
YANI MSHIKE MSHIKE MPAKA HAKI IPATIKANE!!!!!!!!!
Msako wa kupambana na rushwa nchini Iraq umewashtua wengi baada ya mamlaka kuvamia nyumba ya mbunge Hind Al-Abbasi na kukuta mali nyingi zilizofichwa.
Ndani ya nyumba hiyo kulipatikana dola za Marekani milioni 57 taslimu, kilo 27 za dhahabu, pamoja na nguo za ndani zilizotengenezwa kwa dhahabu.
@ReganTesla_ Niliomba Mungu apulize kipyenga Cha kumaliza mchezo. Badala ya kupuliza kipyenga, Mungu aliwapa maono ndugu zangu 2, walinijia na kuniambia wameniotea kifo, wakanisii tuingie kwenye maombi kuzuia kifo. Sikuomba, nilsubiri kitokee. maombi Yao yalizuia na kuinua upya moyo wangu.
Imefika hatua sasa hakuna yeyote anaeamini kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Mwanamke mmoja kwenye mahusiano na akatulia..
Upotoshaji mkubwa na mbaya sana huu..
Much thanks to my Toyota Land Cruiser. We call you AKS. You’ve crossed this nation more than four times, carrying us through every road and every condition. You are more than a vehicle, you’re a legacy. No price tag could ever define your worth. I❤️ you.
Kuna vitu freed me entirely nilipogundua mafanikio yanatoka ndani yangu na sio nje. Something happened to me that revolutionized me forever. I demand more of myself, not externals.
Mungu! Usitunyamazie 😭🙏🏽
Mungu wetu ni mwaminifu na atajibu muda si mrefu!
There is a deep seated TRAUMA and collective grief in #Tanzania following the atrocities of #TanzaniaMassacre
Mwalimu Christopher Mwakasege leads prayers to God asking the Lord “where are you?” Why do You let the Wicked devor the Just?
We pray he is not harmed like other Christian leaders who have spoken up about the injustices and atrocities! Nobody is spared by these EVIL regime!
Dark times we are living!
#SamiaMustGo
Rio Ferdinand accused of sports washing after going on Tanzania govt visit hosted by minister - his "good friend" - who has been sanctioned by USA for gross violations of human rights. https://t.co/Ag2Y6BvfzC