@swahilitimes ๐ฎ kabisa, yaani Mvua za siku 3 ndio za kuharibu matrioni ya fedha yaliyomwagwa jamani nchi hiii. Injinia na wasimamizi wa Mradi wanapaswa kuwa ndani muda huu. Wazari mwenye dhamana awe ameachia ngazi. Jamani Mvua sio majanga ya asili kihivyo. ๐ฎ๐ฑ
@IAMartin_@ummymwalimu@ellykingu1 Yanini Matusi sasa, mbona wazee wetu wawili wamerudi tena. Humility is everything. No one is perfect. It's what it is. That's the fact, and it's life
@masoudkipanya Yote ni majibu; CDM kuna moshi mweusi mzito umezuka, umeibuliwa ndani ya CDM na kwa Taifa zima (CCM). Sasa wametokea wazima moto wengi wakijaribu kuuzima kumbe wanalipua kabisa. Akili kubwa @masoudkipanya umetisha