@EsirEid Weka pembeni dini akiri ifunguke, mimi ni muislam, ila kauri za hivo hazimaanishi kudharirisha, zinataka kujua ukweli kuhusu kilichoko nyuma ya pazia, kama huna jicho la kiinteligensia sio rahisi kuelewa
Trump anataka reaction na anakua anajua kabsa china hawajakanusa
@VungaEl74 Yaan 1000 ni sawa na 507,000😀
Tatizo watu wanaleta hisia za dini kwenye Vita hawataki ukweli
Mimi ni Muislam ila marekani ni mbabe wa Dunia 100%
@Innocen89950594 Kwenye maisha sio vzr kupiga picha ukiwa umelewa ama unakunywa na hujavaa kistaarabu ni hatari sana, hata sio kwa mume tuu, hata kwa watoto wako
@moodewji@IWillLive_X Tajiri kiwanja cha mashabiki 15k hakiwezi kukushinda. Tutakiita Mo stadium tutakuwa tunakulipa kidogo kidogo 40% kwa kila gate collection, na free ads for 4 years.
Ila jina litabadilika baada ya miaka 10 na kiwanja kitaitwa Simba Sc stadium.
@KidutaNgosa Sasa hapo mnafiki ni nani?
Kwanza desa lako linabagua na linaonesha uko upande gani na kitu kinachofanya usieleweke kabsa ni kutokujua kuwa marekani na Islael huwezi kuichambua kwa kusoma mitandaoni au ku google
@mangekimambi@lifeofmshaba@realDonaldTrump Hii ndio inanifanya niipende marekani.
Kumbe warabu na warusi hawaitakii mema nchi pia kama tunavyowalaumu wazungu
Waafrika tuamke tusisubiri misaada tukiwa na taasisi mbovu