@IAMartin_ Walimtumia Mbowe ili kupata fedha za kujenga makanisa Yao kwa dhamana ya chama Leo hii wamepata code ya kufikia kisima Mbowe sio kitu Tena. CHADEMA Msiingize dini kwenye harakati zenu na sijui kwa Nini hamjifunzi. Mzee wa Upako na kadobe aliwaingiza mkenge mkajaa.
@JS08640949@PCatnho@Roma_Mkatoliki Nyie ndio mnalishwa pori. Mnakalilishwa maandiko mkidhani Yana uzima ndani yake. Somo la after life hamliwezi nyie angalau RC japo nao kwa tamaa ya SADAKA na fedha wameongeza ili wazipate fedha za wenye dhambi kuwa wakifa Wana haki ya kuwaombea marehemu waingie mbingu
@PCatnho@Roma_Mkatoliki Waebrania 9:27
[27]Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
And as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment: hapo hakuna NENO siku ya hukumu ni nyundo hapohapo kusubiri jera ya milele pamoja na shetani
@Roma_Mkatoliki Kama mfumo ulivyo duniani ndivyo hivyo hivyo ilivyo rohoni. Jiulize mtu akifanya jinai hatua Gani anachukiliwa?. Hukamatwa na kuwekwa selo ikithibitika mahakamani anakwenda jela. Ukifa mwenye haki unapokelewa kifuani mwa Ibrahimu, mwenye dhambi kuzimu (selo) unangoja hukumu.
@PCatnho@Roma_Mkatoliki Umeweka maandiko mengi yenye maswali na majibu ila kimchanganyo sana. Unasema mtu akifa hajui lolote anadubiri kiama Kisha hapohapo Ebr inasema akishakufa ni hukumu anahukumiwaje mtu aliyelala usingizi asiyejua lolote?. Wasabato mna shida sana.
@sam_odipo@licayodo@Roma_Mkatoliki Kukalilishwa ni vibaya sana. Soma Biblia mwenyewe kwa uongozi WA ROHO Mt au ongonzwa na mtu aliyejawa na Roho Mt ufahamu utafunguka ili kisabato utaangamia. Mhubiri anaanza na swali, "Nani ajuaye". Hivyo hata yeye after life alikuwa hajui kabisa akauliza.
@mdudechadematz Kwa Nini mambo haya mnafichua?. Hasa katika kipindi hiki?. Walipaswa kuziona t-shirt mtaani pasipo kujua wapi zianatoka. Karabhao kula nyasi mbichi.
@Ntobi_@IAMartin_ Juzi Kati alitoa thamani ya simu yake Leo zimedakwa hivi kwa Nini wapinzani hawajifunzi alama za nyakati?. Hivi Sasa ni kutembea na vitochi mtandao tumia chaka Fulani hivi.
@AllyHapi@fratino_tino Hayo ni maneno ya Mtume Paulo na sio Kila NENO kwenye Biblia kasema Mungu mengine waliyaongea Mitume katika Hali za uoga wao. Huwezi kuwa kiongozi unayeua, na kudhurumu Watu haki zao tukasema umetokana na Mungu. Mene, mene, tekeli na peresi.
@Sativa255 si vizuri kuweka mipango Yako wazi. Unampa adui NAMNA ya kujiandaa kukukabiri au labda ni mkwara tu maandamano hayapo mnatia jeshi pressure tu.
@mamgunda1 Kuwa na aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu akaasi sio salama. Kumbukeni Yuda Iskalioti alimuuza Yesu. Ikiwa bado wanao WA jinsi hii wasiwashirikishe mambo ya ndani huwa wako na LAANA
@MalisaGJ_ Kesho anamualika mh. Kwenye ujenzi wa hekalu kijijini kwao wanachama wanapiga makofi .....we shujaa. Kinachotokea malipo ni damu za wanachama. Stuka .
@Twaha_Mwaipaya Poleni sana. Ila siasa za kutaka huruma hazitufikisha kokote nchi inahitaji ukombozi na ukombozi ni gharama. Mwambieni mzee wa maridhiano.