@Jengos_mss@iDiskiTimes As Simba fans, we’ve seen steady improvement under Barker, both in results and overall performance. He’s also excellent at developing young talent. Even if we had lost on October 10, I’d still have backed him. We believe in his project, not just the results. 🔴⚪🦁
@INFLUENCERjr Mshahara milion 200 kwa mwezi. Yaani kila mwezi million 200?? Acha hizo million 200, hakuna mchezaji wa ndani Bongo analipwa robo ya hiyo pesa kwa mwezi..
@salimosaid Berkane wana timu nzuri ila maamuzi ya refa yalikuwa mabovu mno. Kuna wakati alikuwa anaua move za Simba kwa makusudi.. second yellow ya Kagoma haikuwa sahihi.. na pale ndio mechi ilipoisha.. licha ya kwamba wana timu nzuri ila waamuzi wamewabeba mno!
@salimosaid Aisee! Tunafurahi tumeingia fainali ila namna timu imecheza imenipa maswali magumu juu ya finali. Wachezaji walikuwa na presha mno, pasi hazifiki na hata control ni shida. Kwa jinsi Berkane walivyo na kasi aisee.. itakuwa kazi ngumu kama hatutobadilika.