Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Upinzani wenu wa jadi wa zaidi ya miaka 85 sasa ni sehemu muhimu ya burudani yetu. Mnawaleta pamoja na kwa namna kipekee, mamilioni ya Watanzania ndani na nje ya nchi yetu. #KariakooDerby
Leo wanaume mtanisamehe kuna dhambi nashiriki hapa
Nina shoga yangu kitaa kajifungua jana usiku mwananyamala hospital
Kanipigia simu aje kukaa kwangu kwa wiki mbili mimi nijifanye dada yake
Maana kachanganyikiwa mimba imehudumiwa na wanaume 3 mwanzo mwisho
Kila mwanaume kaonyeshwa kadi la klinic kwamba ndio baba
Mmoja yupo mkoani ila wawili wapo hapa hapa dar
Na mwenye mtoto halali ndio huyo wa mkoani
Sasa hawa wanaume wawili wapo dar ndio wanataka kuja kumuona mtoto
Anaogopa atawagonganisha hospital na hapo kwake wote wanapajua kwahiyo kaona aje kwangu amuite mmoja aje kwanza mwingine ampige sound asubiri subiri huyu akishamuona mtoto na yeye aje kumuona
Nimemkubalia ila naona huruma kwa hao wanaume jamani ๐