African Governments should create ministries that will focus on Artificial intelligence (AI), AI can help in Agriculture, i.e precision farming, monitoring of crops, predicting of yield. I also urge our continent to use AI in education, Supporting students with intelligent tutoring systems, learning platforms that personalize education.
#WorldBank Regional Vice President @VictoriaKwakwa congratulated #Tanzania for achieving the best-performing Program for Results (PforR) globally with the Sustainable Rural Water Supply and Sanitation PforR—for two years! @mwigulunchemba1@mofURT
Salaam ndg zangu Mwaka huu serekali iliamua kununua mahindi kwa ajili ya kumuhakikishia Mkulima Soko,Mpaka sasa 200,273mt zimenunuliwa thamani 187.9bn tumelipa 137bn na leo tumeanza kufanya malipo ya 56bn ilobaki ,jana na leo tumelipa 4.3bn na mpaka Jnne tutakua tumemaliza.
@thisistemidayo@jambogrouptz Tatizo ni Content sio Jengo wala ubora wa studio cs bila hivyo hayo mengine ni Zero tu, unless huyo owner awe anasafishia pesa hapo
NIA NJEMA.
Kumheshimu Mungu wangu
Namtolea roho yangu,
Nifanye kazi nipumzike
Amri zake tu nishike
Wazo, neno, tendo lote
Namtolea Mungu pote
Roho, mwili chote changu,
Pendo na uzima wangu
Mungu wangu nitampenda,
Wala dhambi sitatenda.
Jina lako nasifia,
Utakalo hutimia.
Kwa utii navumilia
Teso na matata pia.
Nipe, Bwana, neema zako
Niongeze sifa yako. Amina.
@PMadeleka Wewe ni kweli ulionewa au inawezekana ulionewa kwa habari ya Plea Bargain.Lakini usivuke mstari na kusema hivyo kwa wengine kwa sababu najua huna uhakika.
Tunafurahi umetoka na upo huru,wala hawana watakalokufanya!Lakini kuwa mateka wa machungu yako na kusema uliyosema si sawa!
Ameandika @HKigwangalla
Kwa huyu Chui, hiki ni chakula chake yeye na wanaye. Amekipata kwa shida sana. Haitokeagi mara nyingi wanyama wawindaji wakawinda jike tena lenye kunyonyesha, ukiona imetokea hivi hua muwindaji amezidiwa sana!
Lakini kwa mtoto wa kima, anayeenda kuwa chakula cha party ya Chui na familia yake ni mama yake mzazi, ni family. Hajui family ya karibu zaidi ya huyu, ambaye amekuwa chakula cha chui, hajui pa kwenda, na wala anaanzaje kesho yake bila mama yake.
Kila unapokumbana na choice ya kufanya chochote kile kwenye maisha yako, kumbuka unaowafanyia wana familia kama huyu mama kima, basi baki na choice moja tu - kutenda haki na wema dhidi ya wengine, kwa sababu nyuma yao kuna kundi kubwa linalowategemea.
Mara kadhaa katika maisha yangu nimewahi kuwa kwenye nafasi/mamlaka ya kuamua mustakabali wa maisha ya wengine, Kwa hakika nilijitahidi kuchagua kuwatendea wema na haki badala ya kuwamaliza.
Kama ninavyowapenda akina Sheila wangu, huwa naamini na wengine nao wanawapenda akina ‘Sheila’ wao! Hata kwa wale walionitendea ubaya, sikuwahi kuwalipizia ubaya - nilichagua kusamehe. Tupendane ndugu zangu, maisha haya ni mafupi, na kesho kuna hukumu kutoka kwa HAKIMU wa Kweli! #HK #Fighter #NjeYaBox