π½1996 SERIKALI YA BRAZIL NA MAREKANI ZILIVYOFICHA SIRI UJIO WA ALIENS.
.
Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil).
Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo.
Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua walikuwa washachelewa na wageni walishaingia kitambo sana. π½ Aliens.
Shuka Na Uzi π