"Wakati mwingine katika maisha msaada mkubwa unaoweza kumpa mtu ni kumnyooshea kidole kumuelekeza uelekeo fursa ilipo ama kumlengesha kwa mtu mwenye kuweza kutatua changamoto yake." ~Togolani Mavura.
“I wonder how the whites successfully convinced Africans that Polygamy is a sin but Homosexuality is a human right." ~ Kim Jong Un (supreme leader of North Korea)
What are your thoughts on this?
"Kwenye maisha unapofurahia na kushangilia ushindi, usisahau kujipanga kwa changamoto inayofuata. Kila ushindi huvuta jaribu. Hakuna mteremko usiofuatiwa na kilima." ~Togolani Mavura.
"Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha." ~Togolani Mavura.
"Watoto wako watafuata sana maisha yako na kuyaiga kuliko watakavyofuata ushauri wako kwao. Usioteshe mbegu usiyoweza kuivuna, na usipike usichoweza kukila." ~Togolani Mavura.
Leo tarehe 25 Aprili 2024, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya mazungumzo ya kikazi na ujumbe wa Idara ya Mambo ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu wa SUKI pamoja na Mazungumzo mengine amezidi kuwaomba Chama Cha KiCommunisti cha China (CPC) Fursa zaidi zenye kuleta tija ya maendeleo @ChenMingjian_CN
#LongLiveCCM #LongLiveCPC
I want to take this opportunity to thank the thousands of people from Uganda, and from outside the country who sent me birthday wishes. I appreciate all the love and support. It is very heartening. Today, Charlotte and our youngest daughter joined soldiers of SFC in planting 50 trees. As a wise man once said 'The best time to plant a tree was 20 years ago. The second best time is today'. We all have an obligation to protect our environment by combating deforestation. Later, we also opened the new Neonatal Special Care Unit at Dr.Ronald Bata Memorial Hospital in Entebbe Barracks. This hospital has developed from a Medical Reception Centre, when we opened it 11 years ago, into a fully fledged General Military Hospital. Once again I thank you all.
USHAURI WANGU KWA VIJANA WENZANGU
..
Sio kila mtu anayetofautiana na wewe
unamchukia, wengine wameumbwa na Mungu ili kukutengeneza kuwa mtu bora zaidi kwa wema wako
..
#SautiYaVijana
"This morning, I was feeling as if I had a cold. I took a rapid Coronavirus test which indicated negative. I did two more tests with deeper analysis. One of them turned out positive, the other was negative. So, I am a suspect of Corona as I speak. That's why I came in a separate car with Maama [ @JanetMuseveni ]" - @KagutaMuseveni
#SONAUG2023
#MonitorUpdates