@ShijaDenis@TillahBlessed Mara nyingi husababishwa na ngozi kuwa kavu sana .Pale unapotoka kuoga ukijifuta maji unakuwa unaondoa mafuta yanayojitengenza kwenye ngozi
Tumia Moisturizer showergel wakati wa kuoga au pale unapotoka tu bafuni pakaa lotion usisubiri hadi ukauke kabisa
The Danger in Starting Small.
Ukiniuliza ushindi wangu mkubwa zaidi maishani hadi sasa ni upi, nitakuambia ni umakinifu wangu usioyumba kwenye malengo yangu.
Kuota ndoto kubwa na kuanza kutekeleza kidogo kidogo ni jambo jema, lakini tatizo ni kwamba watu wengi hupoteza mtazamo wa malengo yao katikati ya mwanzo wao mdogo.
Thread๐งต
@TMnyama4_ Acha matumizi ya vinywaji vyenye caffeine kama energy drink,kahawa
tengeneza ratiba ya kulala kila siku(mfano kila siku saa tano uwe kitandani)
Zima taa na kuacha kutumia simu wakati ukiwa kitandani usiku.
Fanya mazoezi jioni kisha uoge kabisa(usioge karibia na muda wa kulala)