Kila siku unapost picha na video za bidhaa zako.
Unalipia matangazo.
Wateja wanakuja, wanaulizia bei... kisha wanatoweka.
Sio kwamba bidhaa zako ni mbaya.
Sio kwamba soko ni dogo.
Shida ni moja tu, Hauna mfumo wa uhakika unaovuta wateja na kufunga mauzo.
Ukweli uliopo nyuma ya 666 ni tofauti kabisa na hadithi za kutisha ulizozisikia kanisani.
Watu wengi wanaishi na chapa hii maishani mwao bila hata kujua.
666 si namba itakayochapwa mwilini kama tattoo, bali ni mfumo wa maisha uliowateka watu wengi sana nyakati hizi.
Njia pekee ya kujua kama bidhaa au huduma yako itafanya vizuri sokoni.
Ni kuanza kuitumia wewe mwenyewe kama mteja mpaka ikupe satisfaction.
Ukiona wewe mwenyewe haikupi kile unachokitaka na sokoni kita react hivyo hivyo.
Hakuna uchawi.
Bro to Bro.
Kama Una Chini Ya Miaka 40, Huu Ni Vakati Wa Kupanda Mbegu Za Maisha Yako.
Sasa Acha Kila Unachofanya Na Usome Huu Uzi.
Sheria 10 Zitakazobadilisha Maisha Yako.
A Thread:🧵
Kukua kiuchumi tunatakiwa tuitumie
_Other people money
_Other people time
Kama kazi zako unafanya mwenyewe kwa mikono yako ni ngumu kukua,
Lazima Tu leverage kwa kutumia watu wengine.
Kuajiri watu smart, wanapenda mshahara. Wanapenda comfort zone.
Binafsi naamini Networking peke yake haitoshi.
Ukienda ku-connect bila kuwa na exchange value, utaishia kutoa salamu na kusahaulika. Watu hukumbuka wale wanaowaongezea thamani, sio wale waliokutana nao tu.
Usikimbilie connections. Jenga value. Connections zitakuwa na maana
Nimeona video hii kwa niffer huko TikTok akielezea nini wafanyabiashara wafanye pale ambapo watajiri au wafanyabiashara wakubwa wanapo post bei za jumla katika page zao za mitandaoni.
Kuna point mbili nataka kuzielezea.
Kinachosababisha wafanyabiashara wakubwa wapost bei za jumla ntandaoni ni kukosa ethics za biashara tu, sababu bei kubwa sikuzote haiwezi kukuletea wateja wengi japo sometimes it does.
Pili, uwepo wa wachina umekuja kufanya biashara kua ngumu sana, sababu kilakitu ambacho Mtanzania alikua anakifata China leo hii mchina anakileta kwa bei ndogo.
Zunguka kwenye malls za Home city na malls zingine mpya ambazo mchina anuza, unakuta mafuta Mtanzania alikua anaagiza China na kuuza kwa 10k lakini ukienda kwa mall ya mchina anuza 3k, apo mbongo mwenzako si utamuona mwizi?
Lakini kingine ni kwamba wauzaji wa jumla wanatakiwa wamlinde mteja wa jumla sababu yeye anakuja kwako kununua mzigo mkubwa mara kwa mara, hivo kama utapost bei za jumla mtandaoni inaonesha wewe kanuni za biashara huzijui.
Hii ni kwa biashara zote sio cosmetic au furniture Au electronics pekee, kila kitu.
Wafanyabiashara wengi wa leo wabinafsi, kutokujua ethics za biashara, lakini kwa wateja wanao waona watanzania wenzao wanauza vitu bei kubwa basi pia wanakosea sababu, biashara zina mambo mengi, mwingine anapewa mali kauli huko anakoagiza mzigo, mwingine alipata mzigo bei ndogo na akasafirisha bei ndogo, ko mkija sokoni bei hamuwezi wote mkafanana, lakini hili la wachina Serikali yetu ingeliangalia sana, maana miaka miwili mbele hali haitakua nzuri sana maana hali za wafanyabiashara wengi zitakua ngumu.
@bohny_chengula Wachina wajanja sana wanabana viza zao huku flow yao kwetu inaongezeka ili watudominate sokoni, na kutengeneza profit from the last consumer straight, uku wanatuulia chain of supply, serikal yetu kwa sababu sio wafanyabiashara wamelala hawaelewi ata hasara zake ni zipi
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu.
USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile:
• Tufahamiane vizuri kwanza
• Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe
Mtu ambaye amekuwa sexual active hawezi kukunyima iyo Wet'Crack kabisa unless hajakuelewa kabisa.
Kama anakataa kujali hisia zako za kimwili, usijilazimishe. Nenda kwa mwanamke mwingine.
Sex should come first then relationship can be discussed kutokana na tabia zake na mwanaume ndio mwamuzi wa kuwa na mahusiano au la.
Sex ni Gundi inayoshikilia uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume pamoja, bila Sex huo ni 'urafiki' tu.
Na maranyingi unakuwa 'URAFIKI WA UPANDE MMOJA' Ambapo mwanaume utatoa rasilimali zako kama pesa, muda , attention and likes pasipo kupata chochote in return.
Mpenzi wako unayemthamini sana lakini hakupi kipochi kuna mwanaume mwingine anaichapa bila limit na hatoi vitu kama unavyotoa.
Unajiepusha kumkosea eti kisa ni mlokole Lakini, kwa ground anatoa style kibao kwa Bed kwa mwanaume anaemuelewa.
Unapomfuata Mwanamke hakikisha unaweka Demands zako kwanza, sasa unamtaka wewe badala uelezee uhitaji wako kwake unahudumia haja zake yeye ili akuelewe STUPID.
NEVER be good, nice and understanding.
Be direct kama atakataa, yeye pia hatoweza kuwa anaomba omba mahitaji yake wakati anajua alikukataa tofauti na ukijifanya rafiki akakuzoea.
Hii inaokoa gharama na kukuondoa kwenye eneo la kunyonywa as well as kuwa friendzoned.
“Gold and silver going to the moon.”
Legendary investor Jim Rogers.
Jim states further, that the prices of gold and silver will go to the moon, yet not without severe retracements.
Gold and silver just went through a severe retracements.
Recently gold hit a high of $5405 and retraced to$4006.
Silver hit a high of $118 and retraced to $56.
Interesting, many “speculators” buy at the TOP then selling at the BOTTOM.
I am in agreement with my friend Jim Rogers.
During this last “retracement” or “crash” I bought more gold and silver.
When a friend asked me why I buy and silver, my reply was:
“The world economy is in great trouble, and I do not trust our leaders or central banks to solve the problem. In fact they are the problem and things like debt and inflation will only go up.”
What are you going to do?
Buy high sell low.
Or:
Buy low and get rich?
Gold and silver are going to the moon!!!!
Take care.
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa,
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?
Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake.
Hautosonga mbele
Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?
Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?
Ulikutana nae mitaani?
Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?
Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.
Ni bora mkewako akuulize kwamna
"what have you ever done for me?"
Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??
Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?
Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary,
Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.
Usilipe ada zake
Usimlipe kodi.
Ngoja nikuambie.
Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.
Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.
Wewe ndiye utamlisha.
Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake
Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa
Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi
Nimemaliza.
Dear wafalme,
Tangawizi, kitunguu swaumu, limao na asali hutibu
Kifua kikuu, mafua, kifua, upungufu wa kinga, nimonia, arthritis, homa & maumivu ya koo.
Chukua Tangawizi na kitunguu swaumu sawa, fanya kidogo Ongeza na limao au ndimu, asali na Maji kidogo.
Vijiko 2 kwa siku.
Dear wafalme,
Kumbuka haya;
1. Kuwa na malengo yako binafsi
2. Vaa Nguo zinazokutosha
3. Fanya mazoezi siku 3-5 za wiki
4. Usichore tattoo jina la Mwanamke
5. Kuwa na nidhamu na kazi yako
6. Ishi masculinity haswa
7. Epuka kubishana & kulilia wanawake
8. Jiheshimu
Mwisho.