“EE MOLA WANGU! NIPE NGUVU NISHUKURU NEEMA YAKO ULIYONINEEMESHA MIMI NA WAZAZI WANGU, NA NIPATE KUFANYA VITENDO VIZURI UVIPENDAVYO, NA UNIINGIZE KWA REHEMA YAKO KATIKA WAJA WAKO WEMA”. [27:19]
@ItsKamala Kumbe ata wao wanajifunza kuhusu Africa. Tunacho tofautian ni kuwa wao wanajifunza uongo kuhusu Africa na sisi tunajifunza kuwa Wazungu wao vizur kwa kil kitu.
@JohnieZeBest@swahilitimes Ndio wote waliofik wa kwanza na uyo dogo..maan ata yey alipozimia wenzak walimuokoa.....kwa iyo wale wa kwanza kufik kweny mtumbw wote ni mashujaa
@Mwanahalisitz Mi nadhan kama sikumsikiliza vizuri uyo jamaa likuwa na wenzake wakat wanaelekea kweny tukio so wenzak ni sehem ya juhud izo nao wapewe izo milioni