HONGERENI WAZAZI/WALEZI KWA KUWAPELEKA WATOTO SHULE.
1.zingatia neno "kuwapeleka" iwe kwa kulipa ada au kwa maneno ya ahadi (sound) wewe ni mshindi tu.
2.Nawapongeza wale ambao wanalipa kabla mwaka kupinduka au wanaolipa kwa wakati bila longolongo lakini nawapongeza zaidi wanaolipa ada kwa mbinde na mshika mshike.
3.Siwapongezi waliokosa ada na wakakosa pia na maneno mazuri ya kulainisha walimu na wakuu wa shule. Duniani ukikosa fedha jitahidi uwe na kauli nzuri.
4.Nawatia moyo wote mliopo katika foleni ya kuongea na wakuu wa shule. Vuta pumzi jiamini, toa sauti ya mamlaka. Usionyeshe unyonge mbele ya meza ya mkuu wa shule, jifanye kuna michongo unaisikilizia na utatiki muda wowote.
5.Hata kama huna pesa ya ada usishawishike kupeleka risiti feki. Utamuharibia mtoto wako jina na kumtengenezea historia mbaya kwa walimu aitwe "mtoto wa tapeli"
Ni heri mshikaji wangu Mayunga aliyetafuta namba ya simu ya nje ya nchi (Uingereza). Akamtumia mkuu wa shule meseji kwamba yupo nie ya nchi kikazi, akirejea tu atalipa ada na watoto wataenda na risiti shuleni.
Mkuu wa shule aliishia kuomba zawadi ya simu nzuri, kumbe mwenzake yupo hapa Tandale.
6.Wazee wa Kitonga mnazingua nyie siwatetei, yaani nyie hamnaga ada sawa tunakubali. Lakini ndiyo mtegemee uniforms za bure? School bus mtoto apande bure.? Mkibebwa mbebeke jamani.
7.Wenye nyumba wakikusumbua wiki hii tusiache kuwakoromea, kwani wao hawajui shule zinafunguliwa wiki hii? Kodi inadharura gani kiasi ishindwe kusubiri?
Nawatakia January njema wapambanaji wote.
Yesterday was yesterday, however today is today. We need to correct the past mistakes with today and not justify yesterday's mistakes with today's dream. You can fool people at times, but not all the time people will be into yo insanity.
A person saying, " The major problem with what's happening now in Tanzania is Magufuli".
I wanna make it clear. Major problems in TZ are THE CONSTITUTION & ACCOUNTABILITY.
Any president involved in BARBARISM it is NOT her, the 1977 Constitution trying to survive in 21st Century.
Sucessful businessmen uwa wapo humble sana, unajua kwanini?
They know and have lived through failure.
Wanajua mafanikio ni kitu kinachoweza kuja na kuondoka.
"Since I took a stand to reject the Bill & Melinda Gates Foundation’s proposal to conduct trials for a hormonal intrauterine device (IUD) designed to prevent pregnancy for up to eight years in Namibia, there have been claims that our decision is a barrier to global health collaboration.
This decision has led to the withdrawal of aid and the rejection of business proposals from those who wishes to bring curse upon Namibia.
However, I reaffirm that Namibia will not compromise on the divine principle of life’s creation and its purpose to multiply and fill the earth, as we believe this is a sacred mandate.”
~ Namibia President, Netumbo Nandi-Ndaitwah
Namibia’s President, Her Excellency Netumbo Nandi-Ndaitwah, has firmly rejected a proposal from the Bill & Melinda Gates Foundation to conduct trials of a hormonal intrauterine device (IUD) designed to prevent pregnancy for up to eight years in Namibia.
With resolute authority, President Nandi-Ndaitwah condemned the initiative as a profound injustice to the Namibian people and humanity at large.
In her official statement, the President declared:
“Namibia is a nation of modest size, with a population of just over 3 million. If any country should consider measures to curb population growth, it ought to be nations like the United States, with over 347 million people. Any attempt to hinder or suppress the growth of human potential in Namibia constitutes a grave injustice to our people and their future.”
Usichokijua ni kwamba, Forex trading inaweza kubadilisha maisha yako, japo kuwa si rahisi kupata mafanikio kupitia biashara hii kama watu wengi wanavyofikiria. Kumbuka hakuna kitu rahisi duniani. (Don't give up).
A strong strategy without the right mindset is still weak.
It’s not just about setups — it’s about the patience to wait, the discipline to act, and the mindset to stay consistent.
Grow your skill.
Strengthen your mind.
Dominate the charts with clarity, not emotions.
1.If that the case you mean The corporation pays a 10% tax on its retained earnings. Remember that corporation paid 30% as cooparate tax on the very same income unless 10% is paid by shareholders 😇
2. After that, dividends paid to shareholders from those taxed earnings are tax-free for the shareholder.
@zittokabwe
Kiujumla pendekezo la kutoza WHT ya 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings ) linaweza kuwa na athari kubwa kwa kampuni ambazo zilikuwa na malengo ya muda mrefu ya uwekezaji.
Nami nashauri liondolewe pamoja na
Kukubaliana na Waziri sio double taxation "kiufundi" lakini sera ina ukakasi kwani inalenga walipakodi walewale ndani ya kampuni yao. Ni high au excessive taxation.
Kwa kuwa tafsiri ya Mapato Yaliyobaki ni faida ambayo kampuni imepata baada ya kulipa kodi ya mapato (corporate income tax kwa sasa 30%), lakini haijagawiwa kwa wanahisa kama gawio (dividends), fedha hizi huwekwa kwa ajili ya kuendeleza shughuli au uwekezaji wa kampuni. Kwa hiyo ukizitoza kodi ya zuio ya 10% kana kwamba ni gawio Athari Zinazowezekana kwa Makampuni ni pamoja na
1.Uwezo wa Uwekezaji Kupungua na motisha ya kampuni kuwekeza faida yake katika kupanua biashara au miradi mipya kutoweka.
2 Kampuni Kuweza Kulazimika Kutoa Gawio Mapema ili kuepuka kodi hii na kuacha ilipwe na mwanahisa, hata kama haikuwa kwenye mpango wao wa kimkakati.
3 Mzigo kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nyingi zinamilikiwa na vijana na wanawake hutegemea retained earnings kwa ukuaji wao. Kodi hii inaweza kuwabana kifedha na kudhoofisha ukuaji wao. Wakawa Wanagawana kila kitu badala ya kuweka akiba na kukuza mtaji.
3 Uwekezaji wa Ndani na wa Kigeni unaweza kuathiriwa ikiwa wawekezaji wataona kuwa faida hazihifadhiwi kwa maendeleo ya kampuni na kukuza mtaji bali zinapunguzwa kwa kodi zaidi ndani ya kampuni.
Kwa kuwa gawio linatozwa kodi ya zuio ya 10% hakuna madhara kulinda uwekezaji ukakua na ukasubiri mwanahisa kulipa kodi hiyo mara tu gawio likifanyika.
Sera nzuri ya kodi sharti kulenga matakwa ya muda mfupi kwa kuongeza makusanyo (mfano kutoza WHTkwenye gawio) huku ikilea ukuaji wa mtaji wa biashara na uzalishaji (kwa kutotoza WHT kwenye retained earnings) .