"Kwa akili za kawaida Katiba ndio inaleta Maisha mazuri? Katiba ni maneno ya wanasiasa, kuna Nchi hazina katiba na zinaenda vizuri labda ushamba tu wengi hamsafiri, Watanzania baadhi yetu ni washamba, ni ujuaji tu wa huku huku Dar Es Salaam basi, ukimpeleka tu hapo Nairobi, giza."
"Tembeeni muone Nchi ambazo hazina katiba na watu wanakula milo mitatu na wanasaza na kila mtu anaendesha gari. Nenda Saudi Arabi Dubai, Oman, sasa Tanzania tunakwama nini? Katiba ndio inayokwamisha? Katiba haifanyi kazi. Hakuna Katiba nzuri duniani. Katiba si maneno mazuri wala haiwezi kutoa matatizo kwa watu wake. Ni Mungu tu na Mtawala mwenye hofu ya Mungu anayeweza kuondoa matatizo kwa watu wake. Chadema wanachotafuta ni mlango tu wa kuikamata dola, wanafikiri wakiingia Ikulu watamaliza matatizo yao yote na vizazi vyao."- Sheikh Said Mwaipopo, akizungumza kuhusu mchakato wa Katiba kwenye akaunti yake ya Youtube.
Nimekwambia shida yako ni kudhani unanijua msichana๐๐๐๐
17848701 lipa ya tigo jina Rahma 100k isome hapo
Ifike hatua vita iwe na faida๐๐คธโโ๏ธ๐ค
Mhe. Lissu: Sasa huko tutafika. Mashahidi wengine nilikuwa nawambia waache kiherehere sasa unataka na wewe nikwambie hivyo halafu tutaendaje Ukonga baadae, sitaki kukwambia hivyo Afande wangu.
Watu wanacheka. Majaji pia wanacheka sana. ๐๐๐๐
Tuendelee kuchangia mkutano baraza kuu
Mwijaku kutwa kukaa mitandaoni kumsema Diamond na Zuchu.
Leo vi clip vyake vya Fumanizi vimeachiwa mtandaoni, akishikilia maza
Hii ni part 1 tu ๐โโ๏ธ
Video kwa Comments ๐
Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dr. Andrew Komba.
Mkurugenzi Mkuu aliepita wa NFRA, CPA Milton Lupa.
Kazi hii haihitaji watu ambao hawajashida.