@JosephMsusi@Iamfelixtz Naelewa lakin maboss wa Azam wanajua kipi wanafanya Amini Feisal katekwa na mapesa ya pale na wakitaka kumuuza atauzwa tu ila sio simba wala yanga timu zenu hizo ni bingwa wa kelele but pesa hawana Azam anafanya biashara na wenye pesa mfano mtasingwa,kipre