@mee_nicodemus Uongozi
Yaani hao watoto kama unajua hawez kuwa hata 3rd option kwann ukae nae ni kupoteza mda mtafutie sehemu ambayo kuna uhakika wa kucheza hata ligi zingine akapate hata experience ya kucheza hata ligi uku mkiwafuatilia development yao sio kusajili na kutokucheza milele
@BracuszCadabra Unampigiaje kelele prezidaa na hauchangii kadi
Ko ni ivi wanaelewa uwezo wao wakifika mbali ni robo
Si ndo timu zote za bongo ziko ivo wengine wanasema lengo ni nusu halafu wanasajili wachezaji ambao hata robo ni bahati
Mashabiki wachangie timu zao ndo waweke demand