📍 Dodoma | Novemba 4, 2025
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imeteua wagombea wa nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, na nafasi za Spika na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
TANNNNNZZAAANNIAAAAA! 🇹🇿❤️
Watu wangu wamerudi tena!
Nimewakosa sana. 🥲
-
TANNNNNZZAAANNIAAAAA! 🇹🇿❤️
My people are finally back!
Missed you all so much. 🥲
#Tanzania
“Maandamano, vurugu, uvunjifu wa amani husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote yule. Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu, busara badala ya mihemko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala ya vinyongo, umoja badala ya mgawanyiko na amani badala ya virugu.” - Mheshimwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akishiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.
Leo Tunatiki Samia
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani jijini Dodoma leo.
Picha mbalimbali zikionesha watu wakiwa wameendelea kujitokeza kwa wingi katika kituo Cha Hima kata ya Mlangali wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe katika zoezi la Kupiga kura.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo aridhishwa na utaratibu wa upiga kura.