@betta_gitau Nilijaribu kukukatia nikiwa freshman kyu nadhani ulikuwa 4th yr hio time lecture ulinipea ๐ nilifocus mpaka nikawacha kukunywa makavo hapo sportpesa.
@mbiti_mwondi Hata akuwe funded na nani anatembea ground kuomba kura si kama presidential aspirants wengine wanashinda boardroom kuongea na watu wawili kila saa