Wanafunzi kutoka shule mbali mbali nchini wakipata Semina juu ya namna Ulimwengu wa Kidigitali kupitia mitandao ya kijamii unaweza kuendesha maisha yao kitaaluma na kijamii.
Semina hii imefanyika makao makuu ya Klabu yetu JANGWANI ikiendeshwa na mtangazaji wetu Alwatan.
#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko