@MsigwaPeter Lisu alifungwa kabla hata ya oct 2025 ambayo ndio sababu ya kukurudisha...Wakati Lisu yupo magereza wewe ukaenda kwa waliomfunga na kumuumiza leo unakuja vijistori vyako wewe ni snitch tu. Sometime ungekaa kimya tu kuliko unafiki huu. Unaumiza vichwa we jamaa
@godbless_lema Nawewe acha haraka kumkumbatia Msigwa mimi sio mwanachama wenu ila nakusihi sana huyu Msigwa hasipewe jukwaa takatifu la kupigania haki watu wenye misimamo thabiti nimeona karatu kule hao kina Asenga mnawapa nafasi yaani.Tushawajua watu wenye misimamo sahihi na wasaka fursa.
@siyagaenock1@EduTalkTz Democrat na republic wote itikadi yao moja yaani "ubepari" ccm ujamaa na chedema ubepari ni mbingu na ardhi. Nyerere aache ujamaa aungie ubepari ndio maana alikaa pembeni kwa busara. Na huu ndio uungwana.
@MsigwaPeter Bro inatosha . Kwasasa endelea tu na kilimo cha nyanya na kanisa. Hauaminiki nyakati hizi tumebaki na Lisu na wafuasi wake waaminifu kina sugu,heche,Mnyika n.k kwasasa wewe ni snitch kwenye harakati. Tulia usiendelee kuchefua watu
@MsigwaPeter Kwenye ngumu na giza kali la mateso ukaungana na watesi kutuumiza leo unakuja kwa watu uliotuumuza kwa maneno na matendo ? Nyakati hizi? Ni demokrasia sawa lakini nashauri ubaki tu chini ya majukwaa kuhitikia kwa sauti pawaaaa Kama sisi....unatuona mafala sio?
@YerickoNyerereT@freemanmbowetz Maumivu hayajapoa yaani Mbowe yeye ndio kajificha kwa aibu ya kupondwa na Lisu mumebaki chawa wake mnalia kwa mbali.....Lisu kanyang'a tonge mdomoni chawa wa mbowe hoiii...njaaa🤣🤣🤣🤣