jukumu la kila mmoja kusimama na kuombea Watoto ulinzi wa Kimungu bila kujali wa kwako au sio wakwako MLINDE MTOTO AJE AKULINDE. sow far aim Christ Believer.
@ElonMuskNews47 Mr. Elon Musk, please open the app like Instagram. In my self, I am tied to being used to Instagram when people tell the truth about their government Instagram shout down account it's really boring
@MariaSTsehai Ushauri wangu kipindi cha mapambano wasiwe gen z peke yao na nyie wana harakati muwepo akina lema wawepo ili kama kufa iwe wote kitendo cha hawa vijana kuandamana na wengine mlinifungia ndani damu zao mtazilipia pia why watoto wenu hawakutoka pia au sio gen z na wenyewe
@jmkikwete@kaji_sijo Uliyo andika hayatufai vijina ikiwa nchi ni ya kumwaga damu za watu kuteka na kuua mnazani mkifa nyie wazee oyo laana inabaki kwa akina nani kama sio sisi vijana hamna na kutuambia sasaiv tuakelewa
@MariaSTsehai Kama walimtaka wangemchukua mchana na sio usiku huku nikukosa nidhamu kwa polisi wajitafakari sana kuna siku wataenda kuteka asie tekwa wakajikuta wote ni maiti mnataka kukamata mtu nendeni kihalali na warrant ya ukamataji amekua jambazi akamatwe kijambazi