Ukikosa nguvu, mkumbuke Mungu. Ukikosa majibu mkumbuke Mungu. Ukikosa njia, mkumbuke Mungu. Kwa sababu ukubwa wa changamoto haujawahi kuwa mkubwa kuliko ukuu wa Mungu
Kama anakutafuta akiwa na shida, kama anakuja kwako akiwa na shida. Awe NDUGU, MPENZI au RAFIKI wa kawaida ni wazi kuwa unatumika.
AMKA WEKA MIPAKA JIFUNZE KUSEMA HAPANA.
Mojawapo ya vitu vinavyopunguza machungu ya maisha ni matumaini kuwa mambo yatakuwa poa siku moja. Bila matumaini maisha yangekuwa magumu zaidi.
Usiache kumtumainia Mungu wako. Tumaini ndio faraja pekee unaweza kuwa nayo ndani yako bila hata kuambiwa na mtu.
Another day, another week, another opportunity to fight, grow, and move forward. Don’t let the past discourage you. Start again with strength, faith, and determination. Every step you take today brings you closer to achieving your dreams.”
Aliyekukosea jana anaweza kujirudi na kukutendea mema kesho. Aliyekutendea wema jana aweza kukutendea ubaya kesho. Wanapokukosea andika makosa yao kwa penseli uweze kuwasamehe inapobidi . Wanapokutendea wema andika mema yao kwa wino usijesahau wema wao pale watakapokukosea.
Ukipatwa na wakati mgumu ongea na MUNGU tafuta mahali palipotulia ongea na MUNGU mueleze kila shaka unalopitia huwezi bila msaada wake akufungulie njia akusaidie usiumbuke na uwe na imani atatenda.
Uvumilivu ni ibada, na imani ni dawa
Haijalishi umevunjwa moyo mara ngapi usikumbuke maumivu muite Mungu usichoke
Wakati wako ukifika utasahau uchungu wote.
@Kaponda_077 Waliluka stage kipindi cha mahusiano wao walikifanya cha uchumba na kipindi cha uchumba ndio walifunga ndoa hivyo hawakuwa wanajuwana vizuri tabia wakashindwa kuishi maisha ya ndoa maana walikuwa bado wapo kwenye kipindi cha mahusiano.
Ukipata mafanikio Usibadili Mwanamke,
Mbadilishe Maisha yake awe Mwanamke mwenye Furaha zaidi, Maana huyu ndiye aliye kuvumilia kwenye Dhiki, ndiye anaye Stahili hiyo Tuzo..