Senior Lecturer in Development Studies and Politics (MUCE), passionate about extractives governance, holder of a PhD (Politics) from University of Newcastle
#Latest on #JasusiTV: UNYAMA MKUBWA! Askari Magereza Wamsukuma Mheshimiwa Tundu Lissu na Kumwangusha Mahakamani
Hivi kama hawa maharamia wanadiriki kumtesa Mheshimiwa hadharani huku mamilioni ya Watanzania wakiangalia kesi hiyo mubashara, hali ikoje akiwa peke yake huko jela?
Ikiwa sasa ni zaidi ya siku 100 tangu Mheshimiwa Lissu awekwe gerezani kwa kesi ya mchongo, is it enough kulalamika tu Kuwa anaonewa ilhali watu wanasubiri miujiza ndo imnusuru?
That aside, hata huyo hakimu jahili akiamua kesi ipelekwe mahakama kuu, one doesn't need even kuhitimu kozi fupi ya sheria let alone a law degree kubaini kuwa Mheshimiwa Lissu sio tu hatotendewa haki bali ameshahukumiwa kinyume cha sheria, no wonder wamemweka pamoja na wafungwa waliokwishahukumiwa kunyongwa?
Video kamili ipo hapa https://t.co/JDFBmU1g7I Ikikupendeza, fanya ku-subscribe
🌍 MUCE ina Wataalamu ambao ni Wahitimu wa MUCE Waliofikia Ngazi za Kimataifa!
MUCE inajivunia kuwa na wataalamu waliokulia, kusomea na sasa kufundisha hapa chuoni – mfano hai ni Dkt. Japhace Poncian, Mtiva wa Kitivo cha Insia na Sayansi za Jamii, mtaalamu mahiri wa taaluma za Maendeleo na Siasa, ambaye pia ni mhadhiri na mtafiti mwenye kutambulika kitaifa na kimataifa, na muhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Leeds (Uingereza) na Newcastle (Australia).
Akiwa ni mmoja wa wanataaluma waliopitia MUCE na sasa anashika nafasi ya juu ya kiuongozi, anaonesha wazi kuwa MUCE ni mahali ambapo vipaji huibuliwa, huendelezwa, na huishia kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.
Unapochagua kusoma Masomo ya Maendeleo au Sayansi ya Siasa hapa MUCE:
✅ Unafundishwa na wataalamu wenye uzoefu wa ndani na mtazamo wa kimataifa
✅ Unajifunza kwa kuzingatia changamoto na fursa halisi za jamii
✅ Unajiandaa kuwa kiongozi wa kesho katika maendeleo ya kijamii na utawala bora
📌 Dirisha la Udahili linaendelea hadi 10 Agosti 2025!
📞 Wasiliana nasi kwa msaada wa kujiunga:
+255 753 469 546 | +255 764 875 468
#MUCE #WanataalumaWetu #MaendeleoNaSiasa #HomeGrownExpert #ElimuYaKimataifa #Udahili2025 #JiungeNaMUCE #ViongoziWaKesho
Safari ya Mafanikio Huanza na Walimu Bora
Katika video hii, tunakuletea Dkt. Edward Mgaya, mmoja wa wahadhiri wa MUCE katika Historia akisimulia safari yake ya kitaaluma—kutoka kusoma ndani ya nchi, nje ya nchi hadi kufundisha hapa chuoni.
MUCE tunajivunia kuwa na timu ya wahadhiri waliopata ubobezi kutoka vyuo mbalimbali duniani, wakiwa tayari kukupa elimu bora na kukuongoza kutimiza ndoto zako.
💡 Unapochagua MUCE, unachagua:
✅ Elimu ya viwango vya kimataifa
✅ Miongozo ya kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea
✅ Mazingira bora ya ukuaji wa kitaaluma na kijamii
📌 Udahili unaendelea hadi 10 Agosti 2025 – usikose nafasi yako!
📞 Piga simu kwa msaada wa kujiunga:
+255 753 469 546 | +255 764 875 468
#MUCE #WalimuWaKimataifa #ElimuYenyeUbora #SomaMUCE #Udahili2025 #ChuoChakoChaKesho #AnzaSafariYakoLeo
📊 Join Us for a Quantitative Data Analysis Workshop!
Sharpen your skills in data interpretation, statistical tools, and
real-world analysis. Perfect for researchers, students, and professionals!
📅 Date: October 06-10, 2025
📍 Venue: MUCE-CDF-SR2
🕒 Time: 1500-1800HRS
🔗 Register now: https://t.co/t3spOEpeoZ