Vijana tengenezeni ushirika wa kupeana support, sio lazima iwe ni kuambiana matatizo au michango ya harusi inaweza kuwa ni watu unaopiga nao stori za mpira, kupeana odds etc. Hao ndio watakupa michongo au kukushauri unapopitia msoto. Mnaowaita mabroo au wapwa walianzia huko.