Asalam alayqum @moodewji ,kusema kweli kuelekea mfungo wa ramadhan mambo kiupande wangu ni magumu na naitaka ibada hii ya funga naomba unipe japo ya futari ya kuanzia wiki ya mfungo na familia.
🙏🥺
Mheshimiwa. Ukweli upi unaopotoshwa? Kwamba mzazi hakuwasiliana na wewe ukampa namba za call Center za wizara ya Afya?
Hiyo namba iliyokosewa ambayo si yako, nilimpatia mzazi akiwa tayari ameshakupata na ukampa majibj hayo (Siyo kwa namba hiyo iliyokosewa)
Tuwajibike
Now days watu wanajifunza KUBETI kirahisi sana magroup kibao Hadi Raha Mimi nilijifunza kubeti na jamaaa mkatili alafu anahela kichizi unaweka buku unaliwa yeye anaweka 100000 ukimpigia kelele ananiambia mtoto wangu huji kukua ogelea uje kwenye kina changu 😂🙌 PREMIER BETT 🔥