@Phbhimself Amini maneno nnayokwambia
Roma, Mongolia,China, Russia, America zili rise bila kuwa na ukristo.
Afrika ni masikini Kwa sababu ya ukristo. Ukristo ni kikwazo Cha maendeleo.
Ili taifa liendelee lazma lpge marufuku dini na hallucinations zake
@Phbhimself Stor flan za kiwaki. Miamba walifight kujeng ufalme wao, Leo mazuzu yanasema MUNGU aliwapa nguvu wakampge myahudi. π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ. Mataifa makubwa yaliyonyanyuka dunian Ottoman, Mongolia, Roma, Persia etc Hawa wote waliinuliwa wampge nani?
Story zenu za kiboya hadithia kondoo wenzio
@kaji_sijo Kaka Kaji, kwenye ukoloni Wa Ma CCM Hali ni mbaya sana. Hata mwehu akija kwetu anaitukana CCM si tunamsapoti tu.
Kama ni akili, wapo watu wengi ndan ya CCM Wana akili sana ila tatzo mfumo.
So, methodology ulyotumia kupma akil Ina walakin.
Labda uwaite majasiri
@kaji_sijo MAGUFULI hakumuhitaji yeyote kati Yao.
Alipotetea dhahabu zetu wapinzani uchwara mlisema anavunja sheria.
Leo Traore kafanya the same mnamuita shujaa.
Ety Kuna Mtu anaamini Kuna tofauti kat ya LISSU na Ma CCMπ€ͺπππ
@kaji_sijo Wakati Marekani na washirika wake wanamuita Mao Zedong dikteta, wachna walimuita shujaa wakaenz maono yake
Wakt tunakarrshwa Hitler, Stanley, Mussolin walikuwa madkteta Leo nchi zao ni kubwa
Waafrika tulvoambiwa Gadafi na Magufuli ni madikteta tukawapoteza, tukaharb na ndoto zao
@ibrahimmakasi@AbroadTanzania Ndivyo unavyojidanganya.
Marekani kupitia tawi lake la Israel alidanganywa na Mossad kwamba Iran hamna kitu. Akazama kichwa kichwa ameliwa had amebak manyoya.
Trump alvyohis US base Qatar inaenda kupotea aka hands up.
Nltaman waendelee km wik 2 hiv Ili Israel iftke kabisa