‼️MORE EVIDENCE OF CHRISTIAN PERSECUTION IN #Tanzania BY SAMIA SULUHU‼️
These Christians were praying peacefully at another church when the police descended in full gear with violence to assault them!
@UN_SPExperts
Blatant violation of @UN human rights charter on Freedom of Religion and Belief!
This is done by the EXPLICIT orders of Samia Suluhu
Kama toka awali ulishasema NRNE na ukaendelea kusimamia msimamo huo.
Basi acha shobo za kupost post sijui Arusha mchuano utakuwa mkali.
Mara ooh Kawe patachimbika.
Acha mihemko focus na agenda yako ya awali.
Mnafanya Endorsement za bure na kuhalalisha mnachokipinga…..
STOP THIS‼️
I know ni ngumu but Jikazeni nyie wakiume!!
Mbona mimi nimekaza!!
Mzee Wasira mlitegemea mkianzisha chama mtaipasua Chadema?
Nafikiri aliewapa script aliwadanganya sana, pengine hamjui kabisa Chadema.
Nafikiri pia hamjui kwamba mnadeal na kizazi gani, vijana wa sasa sio wajinga kabisa kama mnavyojidanganya.
Kesi zote, vurugu zote na bado hamtaweza kuiua Chadema kama matamanio yenu ya kijinga yalivyo.
Hizi m 600 za juzi mlizotoa zitapigwa zitaisha bado utaiona Chadema imesimama hivi hivi.
Soon tutawaeleza Watanzania kwa kina.
Naona Kanisa Katoliki inasema #NoReformsNoElection ✊🏽😀
Ila @SuluhuSamia na genge lake wametia pamba sikioni! Subirini Mungu audhihirishe ukuu wake maana mmeletewa messengers wa kila aina mmeshupaza shingo!
Mi nipo nawatazama tu ukaidi na kiburi cha @ccm_tanzania si wa kawaida ni ule wa kifarao!
#TutaelewanaTu
Tumeruhusu Wazanzibar wawe ni waamuzi kwenye mambo yetu... Tulianza kwa kuruhusu Mzanzibari kuwa rais wa Nchi yetu ya Tanganyika... Sasa wamekuwa waamuzi kwenye kila kitu chetu...
Hatuwezi kukusahau utarudi ukiwa imara #freemdudenyagali 💔
Kwaeshima ya kinaja mwenzetu tumpe Repost 500 amejitoa maisha yake kwaajili ya Taifa hili
Repost.. Repost 🤞 🫂
#NoReformsNoElection
Kila siku nawaambia "USANII NI NGAZI YA KUTENGENEZA MASKINI WENYE MAJINA MAKUBWA".
Wasanii, Watu MAARUFU hawa ni VIBAKA ambao wana njaa sana kwenye hili taifa. Na wengi vichwani hamna kitu.
Leo makanisa na misikiti inalia UTEKAJI unaoendelea kwenye taifa, hao wasanii sijui watu maarufu mmesikia sauti zao?
Hawa VIBAKA inabidi tuende nao jino kwa jino, msikilize huyu dada ameongea Facts tupu. Hawa Maskini wenye majina makubwa ni MBWA ZETU tutaishi nazo vile tunavyotaka sisi.
TUTAKUWEPO🫵😎
huyu muhuni ndiye aliyeleta fujo kwenye mkutano wa chadema jina lake anaitwa Eliud Mwasumbi ni Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Kindai, Singida mjini.
Hii ndo namba yake ya simu msalmieni
0745220251
Retweet kila mmoja imfikie 🙏