Kuna wasichana hunipenda tu time wamelewa. Kwani nakaa aje bana? Mwingine saa hii kamelewa ni phone back to back. But time ako sober atajifanya hanijui. Na mkiona vile ananitext ata nyi mtanionea huruma tu. Very violent texts. Type yangu though.
Under my regime hakunanga hata girls night out. Najuanga tu hio ni umalaya mmeenda. If your friend is a hoe, so are you. Ukitaka kulewa, ngoja niende local unifuate. Nikipiga 3 shots, unapiga kamoja, juu ukiamua kukimbizana na pace yangu utazima and you'll end up pissing me off!!