Kuna huyo Employee wa Natembeya and Sifuna supporter (Hammer Hammer) amefanyiwa mathambi kwa kichwa ๐ญ๐ญ๐ญ. Hiyo picha ni mbaya yaani ni kama walichukua kama 20 minutes kumfanyia unyama ๐คง. Hapo unaomba tu akue bado anajielewa juu sitaki kuimagine the possible aftermaths ๐ญ