@AbsaKenya Hii case ilishapitia system yenu yote bila results. Sasa tunataka accountability hapa public.
Tuambieni:
Kuna investigation inaendelea ama hakuna?
Timeline ya resolution ni gani?
Mbona hakuna feedback despite all escalations mpaka CBK?
Hii si mchezo.
Tunangoja majibu hapa.
A close family member alipigwa fraud kwa account ya @AbsaKenya. Pesa si ndogo. Ni savings ya mtu. Ile pesa unapanga nayo rent, fees, na kusurvive.
Tulireport immediately. Tukapiga simu, tukaenda branch, tukatuma emails. Tulifanya kila kitu venye unafaa kufanya ukipata fraud.
@AbsaKenya Good afternoon.
No, Let’s keep this hapa kwa public.
The details are that a close family member, alisafiri akaenda abroad. Akiwa huko, unknown people wakaaccess line yake. Transactions zikafanyika, pesa ikatoka kwa account, ikaenda mpaka Safaricom kupitia M-PESA na M-Shwari.
@AbsaKenya Ni kuzungushwa tu.
Mtu anapoteza pesa yake akiwa nje ya country, anarudi anapata system imeshindwa kumprotect, alafu bado analazimishwa kufuatilia bila majibu.
Hii si sawa.
So no, sitakuja DM.
@AbsaKenya Tukaanza na Juja branch. Tukafuata process yote. Tukapiga simu, tukatuma emails, tukafuatilia mpaka headquarters. Tulifika hadi ku-escalate kwa Central Bank of Kenya.
Na mpaka leo?
Hakuna report.
Hakuna explanation ya what happened.
Hakuna direction ya resolution.
@AbsaKenya Hii si story ya kusema mtu alikosea. Hii ni fraud clear.
Tulireport Safaricom.
Walichukua issue serious. Wakafuatilia kila step. Wakatrace venye ilihappen. Ndani ya time, pesa ikarudi.
Sasa tukakuja kwa Absa Bank Kenya.
Kama uko na pesa Absa, kaa rada. Check account yako mara kwa mara. Usingoje until something happens.
Ju ukweli ni hii. Shida ikihappen, system ikifail, utajipata uko solo.
One company ilisimama na customer. Moja ikanyamaza.
Hii story ifike watu. Kesho inaweza kuwa wewe.
Sasa kwa Absa ni tofauti. Unafuatilia, unangoja, unarudi tena, bado hakuna movement. Hakuna urgency. Hakuna pressure ya kusolve.
Na hii si pesa ya kucheza nayo. Hii ni pesa ya maisha ya mtu. Ukipoteza, impact ni direct.