Ushiriki wako katika miradi mbalimbali ya kilimo na Jatu inakuhakikishia soko la uhakika , usimamizi bora na mikopo ya kilimo bila riba kutoka Jatu Sacoss.
☎️0758 396767
(PICHA : shambani Morogoro-kilombero kwenye zao la Mpunga Jatu Plc)
Lima na Jatu zao la Parachichi mkoa wa Njombe, uvune faida kila mwaka takribani miaka 30 kwa kuzingatia soko la uhakika nje ya nchi na usimamizi wa kisasa kutoka JATU KILIMO.
☎️0758 39676