Samia Suluhu Hassan na Mwanae Abdul wanaipeweka nchi kwenye changamoto kubwa sana ya kuchonganisha watu kidini, Leo wameshambuali kanisa Katoliki kwa kutengeneza waumini fake, kuna maandamano yamefanyika leo, aliye nyuma ya haya maandamano nia Habibu Mchange, hii imethibitishwa na walioandamana
Amekusanya idadi kubwa ya wanawake kutoa eneo la mwananyamala ambao sio wakatoliki na kuwapeleka kwenye ubalozi wa Vaticani kama wakatoliki, Habibu aliwa kuwa mtu wa propaganda wa TISS akaondolewa na Diwani kutokana na masuala yasiyo na weledi kama haya
Halichofanya sio tabia nzuri, ni dharau kwa dini nyingine, ni kuwachokoza, ofisi ya Papa sio ya kufanyiwa dharau namna hii na maigizo
Abdul unawajibu wa kuomba radhi umma kutokana na suala hili, umewakosea sana wakatoliki nchini,
Kwa sasa hawa waandamanaji wameshajulikana na wanasema aliyewatuma ni Habibu Mchange kwa malipo ya fedha
Ndugu wameanza kutoa siri majina na misikiti wanayo sali waliotumika.
Kwa Misikiti wanayotoka waandamanaji hawa ina wajibu kueleza umma kuhusu udanganyifu wa waumini wao walioukana uislamu na kujivika ukatoliki kwa vipande vya fedha, kanuni za dini ya kiislamu zinakataza kukana uislamu ni kuvunja nguzo mama ya uislamu wenyewe.
Habibu na mwenzani ni wana CCM wanaopigania CCM wakiwa wamejificha kwenye ukatoliki
DJ Ally B amepingana na Majizzo kuhusu wasanii kusamehewa.
Amesema watu hawawezi kulazimishwa kupenda kiporo. Vipi unakubaliana nae? Big YES or Big NO??
@Nnauye_Nape Amekufa mtu mmoja tu mnaandika makala ndeeeeeeefu,
Wameuawa kinyama maelfu ya Watanzania hamjaandika hata neno moja tu kwa wafiwa "poleni"???
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE🚮🚮🚮🚮
Meta @Meta you ate better than this
Don’t forced to comply to nonsense Demands this Are. Our Voices we need them back
@Meta
Tag meta
Repost 780 , we want the account back
‼️🚨WANUFAIKA WA PESA ZA “MABEBERU” NI HAWA SASA‼️
Iteni machawa wachafu wa Bi Kizimkazi
Wanaolipwa na mabeberu ni ninyi mashwaini! 🚮.
Alafu mnawafokea mnawauliza who are you?
Sasa hapo inabidi tuongee na @WorldBankAfrica na @IMFAfrica tumalize kazi mkae kwa adabu
Mnachinja maelfu na kutupa miili yao kama takataka alafu mkiambiwa muwajibike mnachamba?
Mwaka huu #tutaelewanatu
#D9Tunatoka #D9TanganyikaDay 🇹🇿💪🏽
#SamiaMustGo
Hebu Tuwacheke kwanza kwa emoji’s za kutosha hapo kwa koment section, Vilaza wa kitanzania waliojifanya wanamfungulia kesi Mangekimambi ety Marekani imrudishe Tanzania 🇹🇿 🤣🤣🤣
Hawaamini macho yao @mangekimambi
Tuwachekeni hapo kwa koment kidogo
Repost 890
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema ukiona Mtu/Mwanasiasa anatumia Udini au Ukabila kama Ajenda yake Mtu huyo amefilisika kimawazo..
Natangaza Rasmi kwamba Huyu Mwanamke @samiasuluhu amefirisika KIMAWAZO....
Meta’s Suspension of Tanzanian Activists Cannot Be Explained Away
I take this moment to strongly condemn Meta for suspending the accounts of Tanzanian activists at a time when every informed observer knows that media freedom in Tanzania has been completely suffocated and that digital platforms have become the only remaining space through which Tanzanians and the rest of the world can understand what has been unfolding.
Meta and its founder Mark Zuckerberg do not operate in a vacuum and they cannot expect anyone to accept any vague or convenient excuse offered to justify such bans at the very moment when truth telling is most needed.
The timing alone raises questions that cannot be dismissed and anyone who follows global politics can see how familiar this pattern is. Meta has a long history of working in ways that end up suppressing vulnerable voices whenever authoritarian governments are under pressure. No explanation can wash away the fundamental question of why such action is being taken now.
It is because of these activists that the world has been able to see the atrocities committed by the Tanzanian administration and it is through their persistence that major institutions such as the European Union have taken real action against the regime. Meta cannot pretend that it is detached from the consequences of its decisions. This is censorship in its purest form and it is happening at the expense of people who are already facing overwhelming danger and intimidation.
These activists are the same people whose reports pushed the United States Foreign Affairs Committee to call for an independent investigation into the killings in Tanzania. Meta cannot pretend that it does not understand the gravity of the situation. By removing these accounts, Meta undermines a crucial channel of evidence at a moment when accountability is being demanded globally.
Meta must therefore offer a serious and credible explanation for why accounts belonging to Tanzanian activists are being erased. Anything less would point to a company that has chosen to align itself with a government accused of mass violence rather than stand with victims who have risked everything to inform the world. If Meta has taken sides, then it should be honest about it instead of hiding behind excuses that no one can reasonably believe.
cc @AllumBokhari@BreitbartNews@LucasNolan@finkd@Meta@MariaSTsehai