@MarekaMalili Kuna ndugu yangu hapa mwanza aliwahi pendelewa kwenye dili la kazi kisa boss kakuta mshikaji kaoa mhaya yule mwingine kapigwa chini licha kwamba alikua kafanya makubaliano kabla ya ndugu yangu
@RevocatusMagum1 Mwakani lazima zile kelele za GSM anaharibu ligi na bahasha kwa marefa zitakua nyingi, maana kuna timu kubwa pale mjini itajikuta inagombea nafasi ya nne
@Thommunkondya Kitu nachoweza kusimlia zaidi ni mabadiliko ya teknologia sia yatokanayo na siasa , zamani ilikua msiba ukitokea kijijini watu wenye baskeli wanatumwa kupeleka msiba tofauti na sasa mtu anakata mto muda huu taarifa ishafika
@KennedyMmari Hapo kwenye " inazalisha utajiri lakini waafrica wengi hawaongezi kipato" case study ni china na uwekezaji kwenye sector ya madini tanzania, hawa jamaa wananunua leseni hovyo hovyo na wanatoa ajira kidogo sana tofauti na leseni rash za uchimbaji ambazo zinatoa ajira kwa watu wen
Hizi hapa pickup 10 bora zaidi 2024-2026 kulingana na uwezo, kutegemewa, thamani, na umaarufu hasa East Africa:
Top 10 Pickups ๐ป
1. Toyota Hilux
- Kwa nini #1: Haiharibiki. Resale value moto. Vipuri kila kona.
- Injini: 2.4L GD 148hp, 2.8L GD 201hp Diesel
- Uwezo: Kubeba 1 Ton, kuvuta 3,500kg
- Bei: Mpya ~TZS 110M+, Used 2018 ~TZS 65M+
- Best kwa Mtu anayetaka amani ya moyo
@mTusiOriginal Kaka kuwa mpole Tanzania hatuna kabila la watusi, huku wanajiita wanyambo, wahaya, wazinza, wahangaza na wengine wanajiita waha. Watutsi ni burundi na rwanda