Hii imeniuma kinoma yani hii Serikali yetu inakosa ubinadamu hata kwenye majanga. Ingekuwa maandamano ungeona Magari ya kila rangi ila leo wenzetu wamefunikwa na Ghorofa wanaokolewa kwenye kirikuu Ambulance sjui ziko wapi. 🚮
Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania Fernidand Makole, amesema kwa mujibu wa sheria za Tanzania, taratibu za ukamataji zinamtaka Polisi akienda kumkamata Mtuhumiwa kwanza ajitambulishe na aonesha hati ya ukamataji (arrest warrant) akiwa na gari la Polisi linalotambulika hivyo waliohusika kwenye tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo wawe ni Polisi au Watu wengine wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria kwakuwa wamekiuka sheria.
“Hii ya kukamata holela ndio inatengeneza makosa ya utekaji ambayo ni ya jinai, maoni yangu Mtu akija hajajitambulisha usikubali akukamate, akija Mtu na silaha kwa kutumia nguvu kama Tarimo alichofanya hapa ni kujitetea mwenyewe (self defence), kwa mujibu wa sheria kuna utetezi binafsi, kwahiyo Mtu akija kukukamata na hajajitambulisha jitetee hata ukienda Mahakamani ukiwa na kosa utasema nilikuwa najitetea kulinda usalama wangu binafsi” ameeleza Wakili Makole kwenye mahojiano na @AyoTV_
Baada ya tukio hili la kutaka kutekwa kwa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo, Mawakili/Wanasheria mbalimbali wa Tanzania wamejitokeza kuikumbusha jamii ya Watanzania sheria inasemaje pale wanapofuatwa kukamatwa na Polisi ambapo Wakili Jebra Kambole ameandika yafuatayo.
Usikubali kukamatwa na Mtu;
1. Kavaa kiraia
2. Gari halina No. au No za kiraia
3. Watu ambao hawajatoa vitambulisho
4. Watu wasiokwambia kosa lako na kwamba uko chini ya ulinzi.
5. Watu wasio na hati ya ukamataji!! #MillardAyoUPDATES
Heartiest congratulations my friend @realDonaldTrump on your historic election victory. As you build on the successes of your previous term, I look forward to renewing our collaboration to further strengthen the India-US Comprehensive Global and Strategic Partnership. Together, let’s work for the betterment of our people and to promote global peace, stability and prosperity.