💨 Tunakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania kwa uaminifu na usalama mkubwa mno.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/nH9QB9sGyG
Today, @SenatorShaheen advanced multiple pieces of bipartisan legislation at the SFRC business meeting.
Read more about the bills here ➡️https://t.co/jbBhrG3PMi
The treason trial of Tanzania’s Tundu Lissu has been taking place for over 400 days. His crime was to call for constitutional and electoral reforms ahead of the October 2025 election.
https://t.co/K72FOmY2Vc
Je, una picha au video ya mtu akiuawa au aliyefariki wakati wa uchaguzi Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba?
Weka picha/video hiyo hapa na jibu maswali yatakayofuata. Wasaidie Human Rights Watch kurekodi kilichotokea. https://t.co/bWZtUtJex2
Do you have a video or photo of someone being killed or who died during the October 29 Tanzanian election?
Upload it to this secure platform and answer the questions, and help Human Rights Watch document what happened: https://t.co/bWZtUtJex2
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Wakubwa dada yetu @mishalymish
anaepitia changamoto ya kulala kitandani kwa kupooza mwili kwa zaidi ya miaka 15 anaomba msaada wa malipo ya bima kupitia control # 994003105463 kiasi TZS 1,620,000.00. Chochote ulichojaaliwa kitamfaa.
Msaada wa RT!
+255 718 797 494 - Mishaly
Kwa hiyo kwa akili za Magereza wanaamini kabisa kwamba Ujumbe wa TL unatakiwa kukanushwa?! Ili iweje.
Tatizo hamsomi alama za nyakati nisha wahi kuwaambia Tundu Lissu ni LAW MANIA ..
Pia akiwa ndani anaendelea kuwa Imara ,akiwa nje anaendelea kuwa Imara ,mumejaribu kumuua Mungu akakataa...anaendelea kuwa Imara wakati haiba yenu inaporomoka hovyo mbele ya jamii.
Kama ilivyokuwa kwa Babu yao Farao ndiyo roho ya vijukuu vyake imezidi kuwa ngumu na kaidi mbele za Mungu.
Eti tunazungumzia maridhiano katikati ya kudhuluma Haki za watu na propaganda zisizojali Uhai wa maelfu ya watanganyika wa hanga wa ukatili wa Oktoba 29.
Mtaendelea hata kukanusha kwamba leo hajaenda chooni kujisaidia na haitasaidia...
HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA.
Hakuna Kabila Linaloitwa Mswahili au Waswahili acheni kupotosha .
Uswahili ni neno lililotoholewa kuonesha mtu anaye fanya mambo gulani bila ukamilifu au kwanjia isiyo sahihi.
Naona kuna watu wanataka kujipachika kwamba wao ndiyo waswahili .Siyo kweli tusijadili Mada nje ya Mukhtadha.
kwahiyo mtu akisema acha Ushamba wenye mashamba nao waandamane? huu ndiyo utepetevu wa fikra kuacha mammbi ya msingi na kupotosha kutafuta kichaka cha kujifadhi ijinga wetu.
HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA TAIFA.
BAK MWABUKUSI.
Katika Kumbukizi yangu ya Kuzaliwa na kuomba wewe rafiki yangu unisaidie leo kuandika,kushare na kupiga kelele kuhusu utekaji na upotezwaji watu.
Siku yangu hii nitaitunia kutafakari namna bora ya juanza upya na kuendeleza madai ya kurejeshwa kwa ndugu zetu waliopotezwa.
Hatukuja Duniani kwa Bahati Mbaya.
Ni kwa neema ya Mungu ilikupata nafasi ya uzoefu katika Uhai na Utu katika Mwili.
Namna bora ya kuishi nikutambua kuwa hatuishi kwa ajili yetu tuu au kwajili ya kupendeza wengine tu .
Kuna kusudi na wajibu wajuu kabisa wa Kimungu katika Uwepo wetu.
Timiza kusudi la Uwepo Wako.Mungu ni mwema wakati wote.
Aluta Continua.....
BAK Mwabukusi.
Hivi unaweza kumwambia rafiki yako anayekuheshimu aliyepotelewa na ndugu asahau yote yaliyopita muanze Upya?Hata shetani na uovu wake atasikitika.
Tamko stahiki liambatane na Matendo sahihi na Msingi wa Yote ni Haki, Ukweli, Uwazi na Uwajibikaji.Tuna mtaka Mdude Mpaluka Nyagali na wengine wote waliotekwa.
BAK MWABUKUSI.