| Father | Husband | God Fear |Entrpreneur | 1 Shs Distributors | Crdb Bank | Nara Company Ltd | Dads_wardrobe | Boxing & Football Fanatic |Tanzanian |
Nimefika msibani na kusaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa aliekua Meneja wetu wa Matawi ya Azikiwe na Mbezi, Domina Msoka. Familia ya @CRDBBankPlc tunaungana kuiombea faraja familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wetu. #RIPDomina
@JMakamba@SuluhuSamia Hongera sana @JMakamba siku zote umekuwa ukiamini, kwenye uwajibikaji, uwazi, busara kwenye maamuzi kama kiongozi, umekemea kulewa madaraka kwa viongozi vijana, wewe ni rafiki kwa kila mtu nakutakia heri nenda kaonyeshe kwa vitendo na sio maneno!
Kipekee nimshukuru Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na washiriki wote walioungana nasi katika CRDB Bank Marathon 2021 kusambaza tabasamu. Ni jambo la kujivunia kuona tumefikia lengo la kukusanya Sh. Milioni 500 kuboresha afya na mazingira ya jamii yetu.
#CRDBBankMarathonโ
Well, hutaki kuchoma chanjo na wala hakuna atakayekulazimisha...ikiwa ugonjwa huu wa #UVIKO_19 tutaishi nao kwa miaka 10 na zaidi em tupe mikakati utakayotumia kujikinga nasi tuwe sehemu ya wanufaika.!
Mama @SuluhuSamia sikiliza kilio cha wananchi wako kwenye suala la Amani na Utulivu hasa nyakati hizi ambapo tunajenga uchumi wa nchi na kurejesha taswira yake, kumekuwa na vurugu nyingi mtaani Unyanganyi kutumia nguvu, matukio ya wizi, kupora kwa silaha n.k, em sema neno Mama.๐
Kama kweli tuna nia za dhati kumsaidia mtoto wa kike ndoto zake zisiishie njiani sababu ya mimba za utotoni, tuongee wazi bila kuficha kuhusu elimu ya uzazi.
#Sitetereki#NajifunzaKilaHatua
Hakuna kitu kinakera kama kuvaa umevaa nguo Yako nzuri alafu pedi uliyovaa inaonekana jinsi ilivyo ilivyovimba kila mtu anajua uyu kavaa pedi,ukitumia flowless pads huwezi kupata kero kama hizo.
#FlowlessPads#NikoHuru