@millardayo@ummymwalimu Ifike mahala hospital iwe bure then elimu ndo tutoe pesa, unaenda na bima utaskia huu ugonjwa haupo kweny bima au hzi dawa kanunue duka flan, sas kam nina bima si npewe hela nkanunue km wao hawana?
@alikomaster Wakome kabsa saiv wamejgundulia wanakuchulia mtaj wako wote ata sa 2 asubh wanakuweke bunduk kichwan na majiran zako wanakuwa chin ya ulinz Mungu atusaidie tu watu hawafany kaz yan n kuibia tu wenzie๐ช