Mbinguni watu hatupimwi kwa muda wako ulio kaa kanisani walaah hupimwi kwa umri wako, Bali utapimwa kwa kiwango cha nuru kilichopo ndani yako ambayo ni ufunuo uliopo ndani yako .
China remained the world's leading contributor to high-quality scientific research, with its research output up by 22.4% between 2024 and 2025, making it the only country among the global top 10 to achieve double-digit growth, according to the Nature Index 2026 Research Leaders rankings released on Wednesday.
Ukitaka kujua pesa ni tamu jiulize kwa nn vijana wa mbinga walingia kwenye mpango na kwenda zimbabwe,... biashara ilishia wapi vijana wa mbinga wengi walienda Zimbabwe 🇿🇼
Wanaharakati wanatupeleka huku Vita ya kiuchumi vinavyoendelea duniani vina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Kupanda kwa bei bidhaa muhimu huongeza gharama za maisha kuathiri maisha ya mwananchi wa kawaida ni muhimu kuweka mbele maslahi ya taifa @MariaSTsehai
Uboreshaji wa Bandari Kupunguza Msongamano wa Mizigo.
Wadau wa sekta ya usafirishaji wamepongeza jitihada za kuboresha miundombinu ya bandari wakisema hatua hiyo itasaidia kupunguza msongamano wa mizigo unaojitokeza kutokana na ongezeko la shughuli za biashara. ⤵️
Tozo mpya ya PID ni hatua muhimu ya kiuchumi inayolenga kuimarisha miundombinu na huduma za bandari nchini. Kupitia mapato yatakayokusanywa, Serikali itaweza kuwekeza katika teknolojia za kisasa na kuongeza ufanisi wa bandari, jambo litakalorahisisha biashara, kuvutia .........
Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Shirikisho la Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin
Tozo mpya ya PID ni hatua muhimu ya kiuchumi inayolenga kuimarisha miundombinu na huduma za bandari nchini. Kupitia mapato yatakayokusanywa, Serikali itaweza kuwekeza katika teknolojia za kisasa na kuongeza ufanisi wa bandari, jambo litakalorahisisha biashara, kuvutia .........
▫️Kwa Nini Tozo Mpya ya PID Imeanzishwa Sasa? TPA Yafunguka
▫️Mahitaji ya huduma za bandari yanaongezeka kila mwaka. Kupitia Tozo Mpya ya PID, Serikali inalenga kupata fedha za kuwekeza katika teknolojia za kisasa, reli na barabara bora zitakazorahisisha biashara na kuongeza
Muda umekutupa mkono? Usihofu! 🚆📲
Lipa tiketi yako ya SGR kupitia SimBanking ya CRDB na uingie kwenye droo ya kushinda safari za Ulaya, Serengeti au mkwanja kila wiki. Pakua SimBanking App au piga 15003#.
#SimBankingKimpangoWako#CRDBBank#Tunakusikiliza
H.E. Wang Yi, Member of the Political Bureau of the CPC Central Committee and Foreign Minister, held discussions with representatives from U.S. strategic and business communities. He said that the Chinese and U.S. presidents held a historic meeting in Beijing, where they had candid, in-depth, constructive and strategic communication on major issues concerning China-U.S. relations and world peace and development, and reached a series of important common understandings. To ensure a sound China-U.S. relationship, the two sides need to meet each other halfway, effectively manage differences, lengthen the list of cooperation and shorten the list of problems.
“Hongera SAIC Motor kwa kufikisha magari milioni 100 — mafanikio yanayoonyesha nguvu ya uwekezaji wa viwanda, teknolojia na uchumi wa kisasa. Kama mchumi, ninaona hii ni alama ya namna ubunifu, sera sahihi na uwekezaji kwenye magari ya umeme vinavyoweza kuifanya nchi kuwa kinara.
On May 28, Shanghai Automotive Industry Corp (#SAIC) delivered its 100-millionth vehicle to a customer—an IM LS9 Hyper extended-range SUV produced by its electric vehicle subsidiary IM Motors. SAIC has become the first Chinese carmaker to surpass 100 million units in cumulative vehicle production and sales, demonstrating that China’s auto industry is expanding its global footprint and accelerating a push into electric vehicles.