Ukifanikiwa kwenye maisha, usiwaone ambao bado ni wavivu au hawafanyi kwa viwango. People are trying ila ndiyo muda bado au bahati haiwi tu upande wao.
Happy #MHDay2026 ����🌍
Too many girls still experience shame, silence, stigma, and exclusion because they menstruate. Menstrual hygiene is about dignity, education, confidence, wellbeing, and freedom.
Building a #PeriodFriendlyWorld means ensuring girls can learn, lead, and exist without shame.
What does a #PeriodFriendlyWorld mean to you? 👇🏾
#MenstrualHygieneDay #EndPeriodStigma
Usijipe muhimu mahali ambapo huhitajiki hata kidogo. Hii inaweza kusababisha msongo wa mawazo bila sababu. Falsafa nzuri ni kuamini kuwa mambo yanaweza Kwenda bila uwepo wako!!
Hedhi haipaswi kusitisha ndoto zao za kielimu. Siku hii ya Hedhi Duniani, tunapaza sauti: Kuboresha miundombinu ya shule zetu ni kulinda utu na mustakabali wa binti wa Kitanzania! 📚💧#MenstrualHygieneDay#HedhiSalama#TokomezaUnyanyapaa
Laiti wangefahamu namna Wasichana wanavyotega shule na kuingia kwenye vishawishi kwa kukosa tu pedi au vyoo safi na maji salama hili pia lingekuwa kipaumbele #SikuYaHedhiSalama
Tunaelekea kuadhimisha #SikuYaHedhiSalama lakini bado tunazungumzia changamoto zile zile miaka nenda rudi na bado hatuzipi kipaumbele kuzitatua. Hii ni hatari zaidi sababu hatuwezi kuwasaidia wasichana kwa namna hii.
"Fanya uwezavyo katika maisha yako na haswa katika watu wako wa karibu uwe na walau mtu mmoja anayeweza kukuuliza maswali magumu, machungu na usiyoyapenda." ~Togolani Mavura.
Woman to woman:
Take your financial situation very serious, the world can be very unforgiving and cruel to poor women- si unaona hata humu ndani wanavo sakamwa?
Pambana mwaya! Kidogo kidogo tutafika.
Hakuna aibu yoyote if you approach watu unadhani wanaweza kukusaidia kufika mahali.
Haijalishi how negative it can be, but keep knocking them doors.
Kuna ambao watafungua, trust me.
Ningekuwa Marketing Manager wa Ile Bank ya Kijani, Mwakani ningekuja na Idea zile mbio zikakimbiwe Mkoani, sio mbaya zikaenda kule walipo wenzao. Kama watahitaji kupata visibility yakutosha kama wenzao, nikuja na idea tu nzuri maana wakimbiaji ni walewale.
Cc; @franklin_tissa
Happy International Youth Day
Today, we honor the strength, creativity, and resilience of young people who are shaping a better tomorrow.
At Dada Mkuu Initiative, we believe that when youth are empowered with the right knowledge, skills, and support, they become unstoppable.
Happy International Youth Day
Ni muhimu kuchukua hatua za makusudi kuongeza uelewa, kupambana na unyanyapa na kuimarisha afya ya akili kupitia mitindo bora ya maisha ya kila siku.
Kila kijana anastahili nafasi ya kuishi maisha yenye utulivu wa kiakili, matumaini na mafanikio
Ili kuboresha Afya yako ya Akili hakikisha unaepukana yafuatayo
1.Kukata tamaa haraka
2.Hasira au huzuni kupita kiasi
3. Matumizi ya vilevi au kujitenga unapopatwa na changamoto.
#TuzungumzeAfyaYaAkili#IYD2025