MUNGU
Katuumba kwa udongo
katutofautishia visogo
Katujazia na ubongo
Tuweze kabili michongo
Namsifu sio kitoto
Nakolezea na hustle
Sina woga ata kidogo
God got my back bro
1
@WSA_Tanzania#poetrycommunity
So with this,let remain in faith that the way ahead of us is wide open, God has cleared the path, and "the doers of rightiousness will be justified by God Law, amen
"He who opens and no one shuts; and shuts and no one opens" had declered: "See, I have set before you an open door,and no one can shut it" Revelation 3:7-8. .
@RealLoisMo@Jerruman Singeli imezaliwa kutoka kwenye utamaduni wa mswahili na Ina misingi yake, that's why waimba singeli almost wote tabia zao zinafanana sababu Kuna utamaduni ambao unawaunganisha! Kusema hip hop ni utamaduni ila singeli sio utamaduni ni upotoshaji!
@makiwa007@RealLoisMo Inawezekana nimepotosha kwasababu sijui kama singeli ina misingi. Ila nilimaanisha wangeishi misingi ya hip hop basi wangeua damn nomalicious ober most of ya so called fav mcee's.