Mama yetu kipemzi Mh Rais wetu @SuluhuSamia tunakuomba gusa tena #TASAC wabaki kuwa wasimamizi na wakaguzi wa meli biashara ya Clearing & Forwarding ibaki kwa sekta binafsi #TASAC hawawezi hii kazi mama kazi zote wanachukuwa wao watoto wako tutaishi vipi ongea nao mama.